Naomba ushauri wa mbegu gani bora kilimo cha Nyanya.

Naomba nije kujifunza mkuu unalima wap ndugu?

Nataka kusia mbegu Tar 1 august 2024
 
Toa elimu ya matumizi ya mbolea na maji . Je nitatimia mbolea kiasi gani kwa heka 1 na petroli kiasi gani kumwagilia ? Namwagilia mara ngapi kwa wiki, nina heavy duty water gun na sprinler 3 ndogo. Pampu nchi tatu maji yanapita hapo hapo shambani .
Nahitaji muongozo. Kusia mbegu mwezi wa 9 na kuendelea. Project mjombe.
 
Bansali F1 vipi mkuu....maana Tanzanite simudu bei ipo juu sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…