TozzyMay
JF-Expert Member
- Dec 30, 2023
- 406
- 1,495
RAFIKI YANGU ANAOMBA MSAADA
HAJUI AFANYAJE ,KADHULUMIWA
HII NI STORI YAKE KWA UFUPI
".Nimezaliwa Kigoma .siweki wazi ni Kigoma sehemu Gani Kwa sababu ni hatari kwangu nitoshe kusema vile nimesema.
Mwaka 2012 Niliondoka Tanzania Nikaelekea south Africa.
Safari ilianza .nilisafiri Kwa Bus
Nilifika Salama South Africa, nilipokelewa na rafiki yangu ,yeye ndiyo alikuwa mwenyeji wangu ,rafiki yangu anaitwa Botoli.
Nilianza maisha mapya.
Nilipata kazi sehemu ambayo rafiki yangu Botoli alikuwa anafanyia kazi. Kazi ya saloon ,mahususi Kwa dredi.
Niliishi maisha South Africa na nikapitia yote niliyokuwa napaswa niyapitie.
Mwaka 2012 niliacha Familia ya Baba na mama na ndugu zangu walikuwa wanaishi Tanzania Nilipozaliwa .
Mwaka 2015 wote walidandia Pipa wailihamishia makazi yao marekani.
Hadi sasa wanaishi kwenye makazi yao ya mwisho waliyotengeneza huko waliko.
Mwaka 2022 nilirejea Bongo ikiwa Familia yangu Haikuwepo.
Sababu iliyonirudisha Bongo ndiyo Sababu iliyonifanya niache utafutaji wangu wa south Africa.
Nilipatiwa Majukumu na familia.
Baada ya wao kuhamia marekani.
Walikuwa wanatuma hela Bongo, Mama alikuwa anamtumia hela dada yake ,hela Kwa ajili ya ununuzi wa viwanja na ujenzi wa nyumba. Viwanja vingine vilinunuliwa pamoja na Nyumba zilizojengwa zimekamilika.
Walioshiriki kufanya vyote hivi ilikuwa ni Familia Yangu, Baba Mama na Ndugu zangu wachache sio wote.
Vyote walivyonunua Hati miliki ilikuwa inaandikwa Jina langu.
Nilirudi Bongo 2022 kwa lengo la kusimamia ujenzi wa nyumba jukumu ambalo kabla sijarudi lilikuwa chini ya dada wa mama.
Nilivyorudi Nyumba moja ndiyo nilifanikiwa kusimamia ujenzi a hadi z.
Dada wa mama alikuwa amesimamia Nyumba moja ujenzi a hadi z.
Nyumba mbili zilinunuliwa pamoja kwenye kiwanja.
Maisha yalibadilika nilivyomdai dada wa mama hati ya Mali.
Nilinusurika Kufa nilipoanza harakati ya madai ya Mali kutoka kwenye mikono ya dada wa mama.
Ilikuwa siku moja niliamka asubuhi Nyumba niliyosimamia ujenzi ilikuwa imekamilika nikaenda kuikagua.
Nilifika kwenye huo Mjengo kilichonikuta Nilikuja kusimuliwa na dada wa mama Nikiwa dodoma safarini uelekeo kwa Mwamposa . Muda huo alikuwa tayari amempa taarifa mama juu ya kilichonitokea.
Walijadili ,dada wa mama alisimamia taratibu akanipeleka kwa Mwamposa sikupona baadae nilipelekwa kwa Mtalam wa jadi, Mtalam alinambia adui yako upo nae kariba sana na lengo lake ufe ili achukue mali.
Nilitoka kwa mtalam hali ikiwa imekuwa ahueni.
Nilivyomjua adui yangu, niliamua kumkimbia nikae naye mbali.
Baada ya kumkimbilia nilienda kuanzisha Makazi yangu Dar es Salaam mahali naishi hadi leo.
Hadi Leo Kinachoniumiza ni kudhulumiwa Mali yangu, Halafu sina uwezo wa kupambana naye, Mapambano yake ni ya gizani.
NAOMBA MSAADA NDUGU YANGU,
NAHITAJI NIPATE HAKI YANGU ILIYOCHUKULIWA
SIJUI NJIA GANI NITUMIE INILINDE NIFANIKISHE KUREJESHA HAKI YANGU"