Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,041
- 39,986
Hahahahaaa kaazi kweli kweli.....
Utaona kila asubuhi mtu anaamka kuangalia dp za whatsapp za watu wake kaweka nini kisha anaenda kusoma status ya mmoja baada ya mwingine..... aiseeh muda mnao
Mwingine anakuja nakuona online u nachat na nani....? Mbona hujibu message zangu...?
Mwingine nimekuona last seen saa nane na nusu usiku ulikuwa unachat na nani.....
Khaa umekuwa watchman!!!???
Sinaga time na mtu kwakweli najishukuru kwa hilo.