Naomba ushauri kuhusu mpenzi niliye naye

Tumia mtu wake wa karbu aongee naye juu ya mwafaka ya mahusiano yenu then subiria majibu, jambo jingine jitahidi kuwa karbu naye, ucmtenge, maana kiwango ulichofikia cha elimu ni cha juu kulko cha mwenzako dada,
 
kuna ujanja/future/ na vitu visivyowezekana!
hivi unaweza kumwomba mpenzi wako ambae hata baskeli Hana.. unamuomba BMW?
kuna vitu vinavyowezekana na visivyowezekana.
huwezi kuwaza ndoa kwamwanaume Kama huyo....
waza future nae - at your own risk.

Mh, future in which sense? Au ushaona jamaa wa FM 4 hana mwelekeo wa kuwa successful mbeleni princess ariana
 
Mh, future in which sense? Au ushaona jamaa wa FM 4 hana mwelekeo wa kuwa successful mbeleni princess ariana
hapana, tatizo hamjanielewa....
huyu binti anataka kuolewa, Ana mawazo ya kuishi na huyo kijana!
mawazo ambayo, yanaweza kuchange muda wowote akijua maisha sio easy namna hivo!

na huyo kaka hataweza maana hata ramani yake haisomeki, na Ana mpango wa kusoma bado!
hivi mpaka a some amalize chuo ndio amuoe ni Leo?
na huyo Dada bado atakua na mawazo hayo hayo tu?,miaka6 mbele?
 
Back
Top Bottom