MEK_TZ
Senior Member
- Apr 21, 2021
- 180
- 366
Habari ya leo wana JF matumaini yangu tu wazima kwa uweza wa muumba atutiaye nguvu na uzima.
Naomba kurejesha ombi langu juu ya kupata msaada namna gani naweza fanikiwa katika ufugaji wa nguruwe.
Niliwahi andika uzi juu ya kutaka ushauri wa biashara ipi itanifaa kupitia mtaji/kiasi nilicho bahatika kufikisha katika kujitafuta kwangu kama kijana ninae pambana kujikwamua kiuchumi.
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
www.jamiiforums.com
Kupitia ushauri wa wadau mbalimbali na mawazo tofauti nimefanya research na kubaini kuwa kila biashara ni nzuri ukituliza akili na kijituma unaweza toboa. Pia nimebaini kila biashara inafaida zake na changamoto zake hivyo nikajipa muda niweze fanya maamuzi yatakayo nivusha hatua.
Binafsi nimeona biashara ya ufugaji wa nguruwe unaweza endesha maisha yangu hivyo naomba kupata msaada juu ya mambo yafuatayo.
Asanteni.
MEK

Biashara gani itanitoa kimaisha niepukane na umasikini?
Wakuu, ni matumaini yangu wazima wa afya, Nijikite Moja Kwa Moja kwenye mada husika. Naomba msaada juu ya biashara gani naweza fanya nikajikwamua katika hali ya chini. Moja ktk harakati za utafutaji (Udalali), nimebahatika kufikia kiasi kadhaa Cha fedha 10M, changamoto ninayopitia mpaka sasa...
Kupitia ushauri wa wadau mbalimbali na mawazo tofauti nimefanya research na kubaini kuwa kila biashara ni nzuri ukituliza akili na kijituma unaweza toboa. Pia nimebaini kila biashara inafaida zake na changamoto zake hivyo nikajipa muda niweze fanya maamuzi yatakayo nivusha hatua.
Binafsi nimeona biashara ya ufugaji wa nguruwe unaweza endesha maisha yangu hivyo naomba kupata msaada juu ya mambo yafuatayo.
- Namna ya ufugaji bora na wa kisasa.
- Soko la uuzaji na ununuzi wa mifugo hiyo
- Faida na hasara za ufugaji wa nguruwe.
Asanteni.
MEK