UNajua Bei ya G wagon 63 au 65 ?au unaandika tuu kulinganisha na Prado?Wakuu naomba ushauri wenu.Nataka kununua gari mojawapo na machaguo angu ni kati ya Toyota LC prado ya 2018 diesel engine,Mercedes benz G class ya 2015 au 2016 ya diesel, na Toyota LAND CRUISER GXR ya 2017.
Naomba ushauri juu ya ubora wa gari hizo hasa hasa matengenezo pamoja.
Chaguo langu la kwanza ni G wagon Mercedes Benz.
Wakuu nawasilisha
Sure. Watu sijui huwaza nn kununua gari private inayotumia DieselMkuu unanunuaje gari private inayotumia dizeli, huna habari kuhusu uchafuzi wa mazingira......private car inatakiwa itumie petroli, gesi au umeme, dizeli itumike kwenye malori na mitambo.
Ukinunua inayotumia diesel inakuaje?Sure. Watu sijui huwaza nn kununua gari private inayotumia Diesel
Ningekushauri BMW SUV lakini haipo kwenye machaguo yakoWakuu naomba ushauri wenu.Nataka kununua gari mojawapo na machaguo angu ni kati ya Toyota LC prado ya 2018 diesel engine,Mercedes benz G class ya 2015 au 2016 ya diesel, na Toyota LAND CRUISER GXR ya 2017.
Naomba ushauri juu ya ubora wa gari hizo hasa hasa matengenezo pamoja.
Chaguo langu la kwanza ni G wagon Mercedes Benz.
Wakuu nawasilisha
Kweli Mkuu??niliwahi kumiliki BMW saloon,ila sina hamu nazoNingekushauri BMW SUV lakini haipo kwenye machaguo yako
IST ni nourri ,lakini sio kwenye macheou ysngu,gari ndogo tayari ninayoIST itapendeza
Hii machine ipo vizuri,one of my choice
Fata chaguo lako
Mkuu G wagon used Napata kwa hadi USD 50,000U
UNajua Bei ya G wagon 63 au 65 ?au unaandika tuu kulinganisha na Prado?
ndio naomba ushauri mkuuMkuu unanunuaje gari private inayotumia dizeli, huna habari kuhusu uchafuzi wa mazingira......private car inatakiwa itumie petroli, gesi au umeme, dizeli itumike kwenye malori na mitambo.
Mkuu hilo ni moja la chaguo lángu,vip G wagon??Bila kupepesa macho chukua LC Gxr 4.5L 1VD FTV engine. Hii ni moja ya engine bora kabisa za Diesel toka Toyota
Achana na hiyo migari ya kibishoo. Itakusumbua baadae likishachoka!Mkuu hilo ni moja la chaguo lángu,vip G wagon??