Wakuu naomba ushauri wenu.
Nataka kununua gari mojawapo na machaguo angu ni kati ya Toyota LC prado ya 2018 diesel engine,Mercedes benz G class ya 2015 au 2016 ya diesel, na Toyota LAND CRUISER GXR ya 2017.
Naomba ushauri juu ya ubora wa gari hizo hasa hasa matengenezo pamoja.
Chaguo langu la kwanza ni G wagon Mercedes Benz.
Wakuu nawasilisha