Jonsonjohn
JF-Expert Member
- Nov 19, 2019
- 258
- 349
Miaka mitano iliopita nilifungua website ya kuagiza bidhaa mbalimbali kwanjia ya mtandao bahatimbaya sikupata wateja wakutosha nilikutana na changamoto nyingi sana
1. Watu wengi niwaoga kutapeliwa 2.Baadhi ya watu wanataka vitu vya bei rahisi sana bila kujali ubora.
3.Mtu mwingine anataka akilipia Engine yake moja hataki kujua habari za usafiri wa kushare anata ipakiwe hiyi Engine moja container liondoke.
4.Mteja analipia mashine moja ya kuchonga vyuma baada ya miezi miwili ndio unapata mtu mwingine anataka Engine ya boat a Gari nikashindwa.
nikashindwa kwasabu ya hizo changamoto sikutaka kuingia kwenye migogoro na wateja,ikabidi niachane na hii biashara niombe kazi ya kuajiriwa nikafanya,kwasasa nimechoka kufanya kazi za kuajiriwa je nikianza tena hii biashara nitumiembinu gani ili nisipitie kwenye hizo changamoto?
Hapa Kuna bidhaa nyingi sana za mtumba zenye ubora tatizo nikupata wateja wakutosha kununua bidhaa mbalimbali za kujaa kwenye container angalau 20ft
www.digxam.site fungua hii site Kisha jisajili baada ya kujisajili nipe maoni yako niambie tatizo lake nini.