Naomba ushauri: Hana hamu ya kufanya mapenzi na mimi

Nyie watu wa mikoani ndio maana hamuishi kujiua.

Ushagundua Ana wanaume wengine alafu bado unaendelea kumsamehe eboooo huyo ni malaya timua
 
Hustahili hata kupewa ushauri kwa sababu, ukiambiwa mwache, siku hiyo kama akipita dirishani na mwanume mwingine utaenda ukilia kuwa JF wameniambia nikuache.
Endelea hadi kifo kikusaidie kumwacha naye atalalwa siku hiyo hiyo
 
Jifunze kumuacha aendee...
Wakati mwingine milango ya mafanikio imefungwa kwasababu tumelazisha kutokea milango hiyo hiyo tu!
Wake up... Huo sio mwisho wa maisha!
 
Mpaka hapo mkuu huyo mwache anakupotezea muda, watu wote(me & ke) tujitahidi kutoongozwa na hisia bali kuongozwa na tabia na muendeno tuuonao ndani ya yule mtu, mkuu huyo akufai atakuvuruga hadi utaomba po mwenyewe
 
Yaan ndio maana umaskin hauishi nchi kutokana na uwepo wa watu wenye akili kama zako ni bora usingeleta Uzi huu màana umeshaniharibia siku baada ya kusoma thread yako
 
'Endelea tuu kumpaka mafuta kidogo'.....kwanini umwache kwa tatizo dogo kama hilo?
 
Pole sana mkuu, Hapo kama unahitaji amani ya moyo wako, piga chini huyo mwanamke atakutesa mno.
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, nina mpenzi wangu wa muda mrefu toka 2014 japo mapenzi yetu yamekuwa hayana muendelezo muzuri kutokana na tabia za huyu mwenzangu. Tulianza mahusiano yetu vizuri sana baadae mwenzangu alibadilika ghafla, nikaja kugundua alikuwa na mahusiano na wanaume wengine (zaidi ya mmoja) tukawa tumepotezana kwa mda kidogo coz alikuwa hapokei simu wala kujib text zangu alafu akawa ni mtu wa kusafiri sana kumbe alikuwa anasafiri na hao mabwana zake, siku nimekutana nae nilimuona na dalili za mimba roho iliniuma sana, mwanzoni alidanganya baadae akakubali akawa ametoa hiyo mimba akaomaba nimsamehe kwa sababu nampenda sana tena sana nikawa nmemsamehe.

Tukawa pamoja kwa mda mfupi baadae alianza tabia yake ya kuruka ruka na starehe kwa sana, niliamua kumuacha japo roho ilikuwa inaniuma alafu yeye hata hajali kila kitu kwake poa tu. Baadae alirudi akaanza kunitafuta akaomba msamaha kama kawaida yake, kupenda ni hatari sana jamani nilimsamehe tukaanza kuwa pamoja, alikaa kwangu kwa muda wa week, nikaanza michakato kwenda kutoa posa na mahari kwao.

Sasa alivyorudi nyumbani kwao akaanza tena unaweza mpgia simu anakuambia sipo nyumbani nipo kwa dada angu fulani, au kwa bibi nitarudi kesho, au nipo hospitali bibi anaumwa baadae simu inapotea hewani hata siku mbili akipatika anakuambia huku kijijini simu ilizima charge. Sasa kilichonichosha zaidi sasahivi hana hata hamu ya mapenzi kabisa tofauti na navyomjua mimi, huyu mpenzi wangu hapo awali alikuwa akiniona tu hutumii nguvu nyingi kumuandaa, lakini sasa hivi hata ukifanyeje hawezi kuwa tiyari hadi umpake mafuta kidogo. na unaweza kumuomba hata mwezi nzima anakuambia sijisikii, sina hamu.

Naomba ushauri wadau, nifanje ili aweze thamini hisia zangu, au hata kama nikimuacha nifanyeje coz nampenda sana huyu dada natamani awe mke wangu wa ndoa, kuna vitu huwa vinanifanya nimpende sana ni rafiki, mnataniana na kucheka, mpole ila sasa ndo hayo mambo yake, nilishajaribu kumuacha nashindwa nafuta namba kila kitu ila akinipigia tu au nikumuona tu nabadilisha mawazo.
Acha uboya shauri yako....mwanamme ww
 
Pole sana ila fanya uamuzi mgumu wachana naye tu,kabla ya kufanya hivyo akikisha unatafuta binti atakaye kukubali kwa hali yako
 
Back
Top Bottom