gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,305
- 3,327
Ok,hapo sasa mwanzo unaweza walau patikana hata kama hicho kitakua ni kiwango cha chini kabisa kwani tunaweza jiuliza swali,je gunia saba ndicho kiwango cha juu kabisa kwa heka?
Kwa kilimo chetu cha bongo bado tunahitaji kufuatilia kwa undani kwani huenda pia mvua hazikua nzuri ama shamba halikua na rutuba ama mbegu hazikua bora.Tukisha angalia mazingira yote haya basi tutapata jibu ila kimsingi mbaazi ni miongoni mwa nafaka ambazo soko lakini hua halina kawaida yakushuka.
Nikishawahi sikia mara kadhaa lorry la mbaazi likitekwa na majambazi,nafikiri hiii ni ishara kwamba mbaazi ni pesa kwani sijawah sikia lorry la mahindi kutekwa.@Bama11