Naomba serikali iweke vituo vya kupima vileo/vilevi kwa hiari

Pia katika hizi Sober House,kuwe na vipimo vya kiwango cha mihadarati, kuwe na kupima treds ya matumizi kinapanda /kinashuka au palepale kujua kama ameacha au anaendelea kijiboost ndio itakuwa ahueni! na kama kiwango hakishuki maana yake anaendelea hivyo atueleze anapata wapi?
 
Back
Top Bottom