Nakubaliana na wewe mkuu taifa limejaa mbumbmbu. Sijui kwa nini hawakutaka kuwasikia watu wenye akili mliotaka tufanye mabadiliko nchi tuikabidhi kwa kina Kingunge, Lowassa, Sumaye, Tambwe Hiza, Msindai, Masha, Senare, Chizi, Karamagi, Mahanga, Rostam. Mkuu wewe ni mzalendo wa ukweli unasimamia unachoamini. Huko tofauti sana na wanafiki!
Nikisikia SINARE mwili huwa unasisimka sana aisee ,hii familia ni ya watu hatari sana