Naomba msaada wa kilimo cha Azolla

Ukitaka azola niambie na unijuze dau kabisa kuwa nitapata kiasi gani kwa kilo moja, maana mimi naweza kukupatia hadi magunia
 
c41581f4d8c8a0e71084933e68bfb149.jpg
mkuu Azola hiyo hapa niliamua kujenga kisima ntengenezw yangu kupunguza gharama ulishaji mifugo nilizipata baharini mbegu za Azola kwenye mkondo wa maji
 
Back
Top Bottom