Naomba msaada wa kazi

Fazzah5x

Senior Member
Aug 10, 2022
167
241
Habar za leo wakuu
kama kichwa kinavojieleza juu tafadhali naombeni msaada wa kazi yoyote halali kama ni kuuza kwenye duka,au kazi yoyote halali niko tayari kufanya kazi kwa uaminifu,juhudi na utii nisaidieni tafadhali
umri wangu:22
elimu:kidato 6
mawasiliano:+255677423024

#natanguliza shukrani.
 
Sema kazi nyingi ni haramu Kuna jamaa mmoja alikuwa anaajiri watu wenye uwezo was kukimbia na tv inch 50
 
Back
Top Bottom