Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 5,994
- 6,288
SawaNyumbani wanamtambua na posa ameshatoa ila mahari bado.......
....... Sitaki kuyasema yote maana sifahamu kama muhusika yupo uku jf ama laaa
Asante kwaushauri nmeongea nae zaidi ya mara moja anipe sababu ya kwanini hataki niende lakini sababu zake ni very minor....... Na wala hajawahi nipa sabàbu ya kwamba nikienda chuo ntabadilisha mawazo yeye anasema tuu kwamba hayo hayakua makubaliano yetu....Hana nia njema nawe huyo!!! Tena wa kumtupilia mbali. Mwanaume gani hataki maendeleo ya mwenza wake? Kama unatamani kuendelea kusoma bora ufanye hivyo saivi, kwenye ndoa itakua ngumu kidogo.
Wanaume wengine wanataka wakikuoa waku-control hadi unapotaka kununua peni. Wanaogopa ukiwa msomi utakua na akili yako na kuweza kujitegemea.
Wadada wengi ata hivyo tunakumbwa na tamaa tukiwa chuoni, anaweza akawa anaogopa mwanamke wake kuibwa.
Jaribu kuongea nae ujue sababu ya yeye kutotaka wewe usome. Utajua anakataa kwa mema au mabaya.
Anaogopa utapata maarifa. Ukute amekupenda kwa sababu umeishia sekondari. Wanawake wa madegree wanatuogopa siku izi... Eti si wanyenyekevu kwenye ndoa.Asante kwaushauri nmeongea nae zaidi ya mara moja anipe sababu ya kwanini hataki niende lakini sababu zake ni very minor....... Na wala hajawahi nipa sabàbu ya kwamba nikienda chuo ntabadilisha mawazo yeye anasema tuu kwamba hayo hayakua makubaliano yetu....
Natarajia kuanza degreeHaya maswala magumu kidogo, simlaumu sana huyo mtarajiwa wako coz anajua vyuo vyetu mara nyingi vinatoa "elimu ya ziada" pia ambayo inaweza kuwa doa kubwa kwenye ndoa yenu, especially kwa umri wako huo wa early twenties.
Kama ni kupata elimu ya ziada kama masters degree ningekushauri usubiri hadi msimame as a family, then utaenda chuo, lakini kama ndio degree/diploma/cheti unaanza, I'm afraid hiyo ndoa itakumbwa na misukosuko hadi jamaa ashangae.
aache ujinga..kuolewa kupo tu...hata akizeekaAchana na kuwaza masuala ya ndoa, soma wewe! yaani hata Chuo hujaenda unaanza kuwazia unyumba!, kuolewa kupo tu hakuishi
Mbona ana hitikadi za kizamani hivyo?Hapana hatuku kutania shule na yeye pia ni mtu mzima kidogo yuko kwenye early thirties
Asante kwa ushauriHyo ni dalil ya mwanaume kuja kuwa mnyanyas ndan ya ndoa... Ongea nae vzr utagundua nia yake ukiona hana la maana nenda shule kama atakuacha kwa sababu ya shule huyo hana mapenz naww anachohitaji akuoe ukawe bek tatu wake
Kwa umri wako elimu iwe ndio kipaumbele, wewe bado mdogo sana, degree yenyewe ni miaka 3-5. Kama huyo mtarajiwa anakuhitaji sana, mwambie asubiri umalize degree yako, then alete posa.Natarajia kuanza degree
Ada halipi yeye nilishawahi kufanya kazi nka save pesa na bado nyumbani watani support pale ntakapo kwama nkiwa shule.....anayelipa ada ni nani'?
mi ningechagua shule ila kama anahela nyingi tukakubaliana maandikishano na anipe mtaji nitachagua kuolewaAda halipi yeye nilishawahi kufanya kazi nka save pesa na bado nyumbani watani support pale ntakapo kwama nkiwa shule.....
Ila nyumbani wananiambia hayo ni maisha yangu nifuate nacho ona ni sahihi kama nataka kuolewa watani support niolewe na pia kama nataka kusoma watani support nirudi shule
Achana na huyo mporipori, nenda kasome, hakutakii mema.Habari zenu wanajamvi naomba ushauri kutoka kwenu.....
Mimi ni binti wa early twenties na nina mchumba ambae mpaka kwa wazazi anajulikana na mungu akipenda mwaka huu tutaoana......
Kilichonileta hapa ni hiki kuanzia mwaka Jana nilikua nataka nianze process nirudi shule nilipomshirikisha huyu mchumba kakataa kabisa tena kaenda mbali zaidi na kuniambia siku utakayokwenda shule kata mawasiliano na mimi.....
Na Mimi nimemwambia mbona inawezekana kwenda chuo na mambo yote yakaendelea kama kawaida lakini bado ameshikilia uzi huohuo wa mimi nisiende chuo.......
Naombeni ushauri nisimamie wapi maana najikuta nawaza nashindwa kujua ni choose ni kitu gani....
Nb: Yeye amesoma