Naomba msaada; Mchumba hataki mimi niende kusoma

Hana nia njema nawe huyo!!! Tena wa kumtupilia mbali. Mwanaume gani hataki maendeleo ya mwenza wake? Kama unatamani kuendelea kusoma bora ufanye hivyo saivi, kwenye ndoa itakua ngumu kidogo.
Wanaume wengine wanataka wakikuoa waku-control hadi unapotaka kununua peni. Wanaogopa ukiwa msomi utakua na akili yako na kuweza kujitegemea.
Wadada wengi ata hivyo tunakumbwa na tamaa tukiwa chuoni, anaweza akawa anaogopa mwanamke wake kuibwa.
Jaribu kuongea nae ujue sababu ya yeye kutotaka wewe usome. Utajua anakataa kwa mema au mabaya.
Asante kwaushauri nmeongea nae zaidi ya mara moja anipe sababu ya kwanini hataki niende lakini sababu zake ni very minor....... Na wala hajawahi nipa sabàbu ya kwamba nikienda chuo ntabadilisha mawazo yeye anasema tuu kwamba hayo hayakua makubaliano yetu....
 
Haya maswala magumu kidogo, simlaumu sana huyo mtarajiwa wako coz anajua vyuo vyetu mara nyingi vinatoa "elimu ya ziada" pia ambayo inaweza kuwa doa kubwa kwenye ndoa yenu, especially kwa umri wako huo wa early twenties.

Kama ni kupata elimu ya ziada kama masters degree ningekushauri usubiri hadi msimame as a family, then utaenda chuo, lakini kama ndio degree/diploma/cheti unaanza, I'm afraid hiyo ndoa itakumbwa na misukosuko hadi jamaa ashangae.
 
Soma mwaya tena kama anataka kukata mawasiliano akate haraka wanaume ni wengi angalia future yako elim ni silaha kwa mwanamke angalie usimskilize ukaja kujuta badae
Sawa mkuu nashukuru kwa ushauri wako
 
Hyo ni dalil ya mwanaume kuja kuwa mnyanyas ndan ya ndoa... Ongea nae vzr utagundua nia yake ukiona hana la maana nenda shule kama atakuacha kwa sababu ya shule huyo hana mapenz naww anachohitaji akuoe ukawe bek tatu wake
 
Asante kwaushauri nmeongea nae zaidi ya mara moja anipe sababu ya kwanini hataki niende lakini sababu zake ni very minor....... Na wala hajawahi nipa sabàbu ya kwamba nikienda chuo ntabadilisha mawazo yeye anasema tuu kwamba hayo hayakua makubaliano yetu....
Anaogopa utapata maarifa. Ukute amekupenda kwa sababu umeishia sekondari. Wanawake wa madegree wanatuogopa siku izi... Eti si wanyenyekevu kwenye ndoa.
 
Haya maswala magumu kidogo, simlaumu sana huyo mtarajiwa wako coz anajua vyuo vyetu mara nyingi vinatoa "elimu ya ziada" pia ambayo inaweza kuwa doa kubwa kwenye ndoa yenu, especially kwa umri wako huo wa early twenties.

Kama ni kupata elimu ya ziada kama masters degree ningekushauri usubiri hadi msimame as a family, then utaenda chuo, lakini kama ndio degree/diploma/cheti unaanza, I'm afraid hiyo ndoa itakumbwa na misukosuko hadi jamaa ashangae.
Natarajia kuanza degree
 
Hyo ni dalil ya mwanaume kuja kuwa mnyanyas ndan ya ndoa... Ongea nae vzr utagundua nia yake ukiona hana la maana nenda shule kama atakuacha kwa sababu ya shule huyo hana mapenz naww anachohitaji akuoe ukawe bek tatu wake
Asante kwa ushauri
 
Natarajia kuanza degree
Kwa umri wako elimu iwe ndio kipaumbele, wewe bado mdogo sana, degree yenyewe ni miaka 3-5. Kama huyo mtarajiwa anakuhitaji sana, mwambie asubiri umalize degree yako, then alete posa.

Ingekuwa master's degree mngeweza kufunga ndoa na ukasoma bila tatizo, lakini kwa degree ya kwanza nadhani unahitaji concentration ya elimu kwanza.
 
anayelipa ada ni nani'?
Ada halipi yeye nilishawahi kufanya kazi nka save pesa na bado nyumbani watani support pale ntakapo kwama nkiwa shule.....
Ila nyumbani wananiambia hayo ni maisha yangu nifuate nacho ona ni sahihi kama nataka kuolewa watani support niolewe na pia kama nataka kusoma watani support nirudi shule
 
mi ningechagua shule ila kama anahela nyingi tukakubaliana maandikishano na anipe mtaji nitachagua kuolewa
 
Hebu Tafuta somo la Jana la GJ Malisa. Linahusu "VALUE CLASH" litakusaidia kufanya maamuzi.
 
Habari zenu wanajamvi naomba ushauri kutoka kwenu.....
Mimi ni binti wa early twenties na nina mchumba ambae mpaka kwa wazazi anajulikana na mungu akipenda mwaka huu tutaoana......

Kilichonileta hapa ni hiki kuanzia mwaka Jana nilikua nataka nianze process nirudi shule nilipomshirikisha huyu mchumba kakataa kabisa tena kaenda mbali zaidi na kuniambia siku utakayokwenda shule kata mawasiliano na mimi.....

Na Mimi nimemwambia mbona inawezekana kwenda chuo na mambo yote yakaendelea kama kawaida lakini bado ameshikilia uzi huohuo wa mimi nisiende chuo.......

Naombeni ushauri nisimamie wapi maana najikuta nawaza nashindwa kujua ni choose ni kitu gani....
Nb: Yeye amesoma
Achana na huyo mporipori, nenda kasome, hakutakii mema.
 
Back
Top Bottom