Naomba Msaada Kutoka kwa wakazi wa Kifanya kuhusu kilimo cha Ndizi

Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
5,425
6,860
Mimi ni ngeni ktk kata ya Kifanya, nilibahatika kupata mashamba ya miti na baadae kuongeza ya parachichi. Eneo nililoongeza lipo kijiji cha mikongo njia ya kuelekea songea.
Altitude yake ni m800 mpaka m1200.
Je eneo hilo ndizi zitafanya vizuri? nimeona mashamba ya ndizi za moro zile fupi mikungu yake sio mirefu kama ile ya Moro, mzuzu wa mbeya na aina ya ndizi bukoba/Uganda ambazo ni ndefu.
Hizi ndefu nimethibisha ustawi wake ila zinaanguka na upepo na soko sina uhakika.
Naweza kufanya kilimo cha biashara nipate ndizi zinazoweza kuuzika popote.
Ushauri please.
Natarajia kuanza na heka tatu zipo karibu na chanzo cha maji.
Lengo ni kupanda aina ya Mzuzu wa Mbeya ba Moro, Malindi uganda kidogo sana.
 
👏👏👏
 
Back
Top Bottom