mkalusanga
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 354
- 441
Habarini familia ya JF;
Poleni na Musiba na Majanga ya Kariakoo.
Naomba kujua Mimi niko na Namba za NIDA Muda mrefu sana ila sina kitambulisho cha Nida
Sasa kinatakiwa haraka kuna mtu Kaniambia Niende tuu kwenye Stationery wanayotoa Copy pia Nitengeneze ila kitakuwa kama Copy ila kina Nembo na kila kitu kama kitambulisho cha Nida Sasa kabla Sijafanya hivyo naomba Nijue Ni Sawa kutengeneza I mean ni Halali Mimi kumiliki cha Hivyo?
Asanteni nasubili Jibu.