Naomba mrejesho kwa aliyewahi kutumia Goldie face cream

miss chuga

JF-Expert Member
Dec 25, 2019
303
660
Habari zenu wapendwa?

Naomba mrejesho kwa mtu aliyewahi kutumia Goldie face cream, maana Mimi nina chunusi sasa nimeenda cosmetic wamenishauri nitumie hii face cream.
 
Wanawake mnakwama wapi kwenye urembo?
Jiulize huko cosmetic wamekushauri utumie Goldie kwa sababu zipi walizotoa wao?
1.Je Goldie ina tibu chunusi?
2.Kwa watu wa ngozi aina gani?
3.Je wewe una ngozi aina gani
4.Sababu za chunusi kwako ni zipi?

Maana kwa swali ulilouliza ni kama vile Goldie ni "one size fits all" yaani inatibu tatizo kwa kila mtu kitu ambacho sio sahihi maana inawezekana ikatibu chunusi kwa mtu wa ngozi Fulani lakini kwa mwingine isitatue tatizo.

Wife alitumia Goldie kwa kushauriwa na rafiki yake, alipoanza kutumia hali ikawa mbaya zaidi ikabidi arudie mafuta aliyoyazoea ndio ngozi ikakaa sawa.

Hasara zake ni kwamba unaingia gharama kununua mafuta ambayo yakikukataa itabidi uyaache uanze kutafuta tena kwa kubahatisha ndio maana bajeti yenu ya kujiremba ipo juu.
 
Nina uso wa chunusi sana nimepaka vitu vingi na sikusaidika lakini kwa sasa natumia Moroccan oil kiukweli inanisaidia sana kuhusu hizo creams mara chache sana kupata yenye matokeo mazuri.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Usitumie kabisa sio dawa ya chunusi iyo
Nenda pharmacy nunua 'entezma' utakuja kunishukuru
 
Tafuta ANTI ACNE INAONEKANA BADO MIAKA YAKO SIO MIKUBWA SANA HORMONES ZINAFANYA KAZI TAFUTA ANTI ACNE
 
Wanawake mnakwama wapi kwenye urembo?
Jiulize huko cosmetic wamekushauri utumie Goldie kwa sababu zipi walizotoa wao?
1.Je Goldie ina tibu chunusi?
2.Kwa watu wa ngozi aina gani?
3.Je wewe una ngozi aina gani
4.Sababu za chunusi kwako ni zipi?

Maana kwa swali ulilouliza ni kama vile Goldie ni "one size fits all" yaani inatibu tatizo kwa kila mtu kitu ambacho sio sahihi maana inawezekana ikatibu chunusi kwa mtu wa ngozi Fulani lakini kwa mwingine isitatue tatizo.

Wife alitumia Goldie kwa kushauriwa na rafiki yake, alipoanza kutumia hali ikawa mbaya zaidi ikabidi arudie mafuta aliyoyazoea ndio ngozi ikakaa sawa.

Hasara zake ni kwamba unaingia gharama kununua mafuta ambayo yakikukataa itabidi uyaache uanze kutafuta tena kwa kubahatisha ndio maana bajeti yenu ya kujiremba ipo juu.
Umejimjibu sahihi...nlikua na same issue nikaambiwa nitumie wix ila two days nikaona kama inazidisha ikabidi niende pharmacy kubwa nimeponea dawa za minyoo na dawa ya tube nliambiwa nitumie siku 5 tu
 
Back
Top Bottom