Naomba Mnisaidie mkoa Wa Kwenda, Matembezi

Tman900

JF-Expert Member
May 30, 2017
655
2,172
Nimepanga kwenda Matembezi Baada ya Mwezi wa 6

Nataka Niwe uko kwenye huo mkoa kwa Siku 20 au kama zitazidi pia Ni jambo Jema.
Naomba isiwe mikoa hii.

1.Musoma/ Mwanza, hapana, kwa Baba yangu( Ndugu Wengi wapo mikoa hiyo.
2. Lindi Hapana kwa mama Yangu 3.Mtwara, masasi, Iringa,
njombe,MBEYA,
5.Kahama, Dodoma. Morogoro.
6.Tanga,
Zanzibar nimefika.

Naomba iwe mikoa Tofauti na pia na vivutio vyake au Sehemu za kwenda kujionea mandhari Tofauti.
 
Nenda mwanza au Musoma mkuu au kama vipi timba Mbeya au kama miyeyusho ingia Dodoma, Kahama au zama Iringa kama unataka vivutio ingia Mtwara, Lindi, Tanga, Masai au Zanzibar huko kuna vivutio kama beach na zaidi ni hayo naimani htakosa pa kwenda kwenye hiyo list
 
Nenda arusha
 
Ndugu, mikoa uliorodhesha hapo nimefika, nimetoka MBEYA, Sehemu sio muda sana.
 
Nimepanga kwenda Matembezi Baada ya Mwezi wa 6

Nataka Niwe uko kwenye huo mkoa kwa Siku 20 au kama zitazidi pia Ni jambo Jema.
Naomba isiwe mikoa hii.

1.Musoma/ Mwanza, hapana, kwa Baba yangu( Ndugu Wengi wapo mikoa hiyo.
2. Lindi Hapana kwa mama Yangu 3.Mtwara, masasi, Iringa,
njombe,MBEYA,
5.Kahama, Dodoma. Morogoro.
6.Tanga,
Zanzibar nimefika.

Naomba iwe mikoa Tofauti na pia na vivutio vyake au Sehemu za kwenda kujionea mandhari Tofauti.
Nenda kwenu kwani huna kwenu?
 
Back
Top Bottom