Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 30,733
- 34,612
Nipo, ningekufa ungepata taarifa hapo Twita.Hivi upo weye
Asante sana mkuu.Congz kwa Madame B na huyu agent wakike Evelyne salt
Tuko pamoja
Hahahha....Uzalendo huanzia nyumbaniYou are good in promotion strategies
Hahahaha.....haya bhanaUmetisha bila kinyago
Tena na kufuli la chuma na mlango wa zege, hawatoki mpaka kiamaList imefungwa
Hahahah....sio hivo bhana mkuu.Hahahh Madame B so member wa mwanzoni au wazee ndio tunaitwa Makupuku?! Interesting
1 na 2 ni sie, ila 3 to 10 ndo nyie
Nipo na nimejaa tele mwaya.Shogaa upo!
Hivi kule bado upo?