Naomba Kusaidiwa.. Hii ni Ibada ya Freemason Kweli?

yaah iyo ni Ibada ya freemason,,miongoni mwa vitu muhim na lazima ni bendera 2 pale mbele na wahumini wake lazima wavae suti nyeusi,,shati jeupe na necktai nyeusi,,hao wengine ni waalikwa,,anayeongoza misa ana cheo cha Master Masoni yaani ana degree 3,,dgree za Masonic ni 33 na wanaomiliki izo km Tony Blair,,George Bush,Obama etc
We umejuaje ??..maana hiyo ni secret society .....!!!
 
Back
Top Bottom