Habari za leo wakuu, hongereni na majukumu,
Kama kichwa cha habari kinavoeleza, kwa mzoefu tafadhali, naomba kupata kujua zaidi pikipiki ya.
1. Sinoray cc 180-18 (PUSHROD) na
2. Sinoray cc 180-18(TIMING CHAIN).
Katika vigezo vifuatavyo,
1. Ubora na uimara
2. Re- sale value na kadhalika.
ANGALIZO.
nimetaja SINORAY TU.
BMW, yamaha na honda za kijep, ama sjui sanlg au tvs, tuziache kwanza.
Natangulisha shukrani za dhati 🙏🏿