Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,596
- 34,347
Huyu mdada anaitwa Tina Rogat Yuko insta almaarufu 'Umelala Yoooo' yani nampenda mno mpaka naumwa Ana macho mazuri mnoooo halafu Ana sura flani ya aibu ya kike naomba muuskrinshot ujumbe huu mumpelekee inta. Tina naomba uwe mke wangu una JICHO mamaaaa.