Naomba kujuzwa zaidi kuhusu UTT

Download UTT AMIS app kwenye play store
ukisha download utaji register
Utaamua ufungue account uipendayo kulingana na uhitaji wako.
kuna ya watoto
kuna umoja
kuna bond
kuna wekeza maisha
Kuna Liquid account

Kwenye app kuna sehemu inaelezea kipande kimoja sh ngap na utauza iko kipande sh ngapi
Itakuelezea minimum kuweka sh ngap japo unaweza anza kununua hata chini ya hapo

Pia kununua kwake ni rahisi, uta click sehemu ya nunua kipande, itaku connect na tigo pesa, m pesa, airtel money utanunua

Uzuri wa app ni kwamba una monitor jinsi pesa yako inavyoongezeka.

Ila ni vyema zaidi kama upo Dar ufike sukari house watakupa maelekezo.

Mpigie 0688944180 au 0679811851 anaitwa Waziri atakushauri vizuri kulingana na pesa yako na nia yako ya kuwekeza.

Ku set password piga *150*82#
 
Asante
 
Kiongozi umemaliza kila kitu hapo
 
Hope mu wazima wandugu naomba kw mwenye ufahamu yakinifu anijuze kuhusu UTT mfuko wa uwekezaji na ni aina gani ya mfuko naweza wekeza sh 50 elfu kw mtindo wa kukuza mtaji vilevile kujua nikiasi gani ntakuwa napata kama liba
 
Nimesoma reports za UTT, zinasema thamani ya kipande cha mfuko wa umoja ilikuwa sh 800 ambayo ndo bei yake sokoni. Nagawio kwa mwaka kwa kipande ilikuwa sh 12... ndo nikajiuliz yaani watu manasema utt kunafida kubwa kuliko kufix hera benk kwa raye ya 11 hadi 13%?

Kama nimeelewa vizuri faida ya uwekezaji hapa ni sh (12/800 =1.5% kwa mwaka ndo return). Kwa wajuzi hebu mnitafasilie viizuri labda mimi sijaelewa
 
Nikupashe mzee
UTT inajihusisha na bonds especially zile kubwakubwa za serikalini. Sasa jamaa wale wanakusanya pesa kwa wananchi ambao wako interested, rate ya bonds zinaweza kua very low na nikueleze highest return rate inaweza kua 15% kwa muda mrefu mno. Jua kwenye uo uwekezaji hauko peke yako ivo gawio lazima liwe kwenye sense ya kuaccomodate wateja wote.
Ukifananisha faida za benk na utt ni kama ufananishe mwendokasi na daladala, haraka, gharama ya uwekezaji na matarajio. Benki kuenjoy iyo return ya 11%-13% ni uwe na mzigo wa kutosha kwenye account yako laasivo utarudi tuu kuomba opinions apa, same ukiamua kuingia kwenye hatifungani direct peke yako return itakua juu ikiwa umeeka dau la kushato na utt ni maamuzi yako katika uwekezaji(mutual funding).
Weka akilini vyote vinataka muda na zigo(mpunga) ili upate vile unaexpect.
 
Hujaeleweka.

Kwahiyo tuseme nina 100 milioni TZS.

Wapi panafaa, Fixed Bank account au Hatifungani
 
Mkuu ungetoa mfano,, mtu anamillion 100 wapi aweke,, fixed au UTT? na je maeelezo yakukokotoa faida niliyoyatoa yako sawa hapo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…