Naomba kujuzwa lodge za bei nafuu dodoma

Mike Moe

Senior Member
Nov 3, 2019
150
163
Hello wana jamii kwa wenyeji wa dodoma na hata wale ambao si wenyeji ila umewahi kufika dodoma kwa ajili ya interview ya utumishi naomba tujuzane lodge za bei nafuu kipande hicho ili ndugu zenu tusiangaike tutakapo wasili jijini hapo
 
Back
Top Bottom