enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,073
- 3,604
- Thread starter
- #21
Hahahaah mkuu mie huyo sioni kama ni mtangazaji nguliAdamu mchomvu hajapitia
Hahahaah mkuu mie huyo sioni kama ni mtangazaji nguliAdamu mchomvu hajapitia
Huyu ni mtangazaji wa radio gani mkuu.Le mutuz
Aliwahi kufanya na mpaka anaenda BBC mwaka 2005 alikuwa mtangazaji wa ITV/radio one.Mkuu Salim Kikeke hajawahi kufanya kazi ITV or Radio one....
Alijaribu kuomba kazi akakosa.
Mkuu shukrani kwa mchango wako. Lakini sio kosa jamii forum kuwa na vijana ambao nyie mnapenda kuwaita watoto.Ama kweli JF imejaa watoto siku hizi!
Halima Kihemba.
Sarah Dumba (RIP)
David Wakati.
Deborah Mwenda.
Tido Mhando.
Chilambo Dominic.
Jacob Tesha.
Tumbo Risasi.
Siwatu Luwanda.
Penzi Nyamungumi.
Rochus Matipa (External Service).
Neema Kipungahelo.
Khalid Ponera.
Idrisa Sadala.
Eda Sanga.
Chisunga Steven. (Ugua Pole).
Just to name a few.......
Hawa ni Legends katika sekta ya Utangazaji Tanzania. SALUTE.
Ama kweli JF imejaa watoto siku hizi!
Halima Kihemba.
Sarah Dumba (RIP)
David Wakati.
Deborah Mwenda.
Tido Mhando.
Chilambo Dominic.
Jacob Tesha.
Tumbo Risasi.
Siwatu Luwanda.
Penzi Nyamungumi.
Rochus Matipa (External Service).
Neema Kipungahelo.
Khalid Ponera.
Idrisa Sadala.
Eda Sanga.
Chisunga Steven. (Ugua Pole).
Just to name a few.......
Hawa ni Legends katika sekta ya Utangazaji Tanzania. SALUTE.
Hayo ndo majina makubwa...?? Namjua mmoja tu hapoMkuu ila Radio iliotoa watangazaji wengi wenye majina hapa Tanzania,, ni Radio Free Africa/Sahara media group
Godwin Gondwe
Paul James Sweya
Alex Ngussa
KidBoy
SkyWalker
ebu acha ligi bana , unakua kama wapinzan yan kwa unavofikili hao ulowataja wanawazidi wa IPPMkuu ila Radio iliotoa watangazaji wengi wenye majina hapa Tanzania,, ni Radio Free Africa/Sahara media group
Godwin Gondwe
Paul James Sweya
Alex Ngussa
KidBoy
SkyWalker
Usipatwe na tambweta mkuu. Hiyo ni lugha nogesha. Sikuwa na nia ya kumkwaza kijana/mtoto yoyote. Ashakum si matusi.Mkuu shukrani kwa mchango wako. Lakini sio kosa jamii forum kuwa na vijana ambao nyie mnapenda kuwaita watoto.
Kumbuka miaka inaenda sasa vijana wasipojiunga na JF unategemea baada ya miaka 15 JF itakuwa na hali gani kama sio kufa.
Ameuliza nini? Kwani hao niliowaorodhesha hapo wamepitia IPP MEDIA!?Ungejibu na alichouliza kama unajua.. bila kuandika ya watoto.
Ameuliza nini? Kwani hao niliowaorodhesha hapo wamepitia IPP MEDIA!?
Au wewe nae ni miongoni wa walewale?
Godwin Gondwe tuHayo ndo majina makubwa...?? Namjua mmoja tu hapo
hawa si wa wakati wa uwepo Wa itv\radio oneAma kweli JF imejaa watoto siku hizi!
Halima Kihemba.
Sarah Dumba (RIP)
David Wakati.
Deborah Mwenda.
Tido Mhando.
Chilambo Dominic.
Jacob Tesha.
Tumbo Risasi.
Siwatu Luwanda.
Penzi Nyamungumi.
Rochus Matipa (External Service).
Neema Kipungahelo.
Khalid Ponera.
Idrisa Sadala.
Eda Sanga.
Chisunga Steven. (Ugua Pole).
Just to name a few.......
Hawa ni Legends katika sekta ya Utangazaji Tanzania. SALUTE.
Kufanyia kazi vituo vikubwa vya habari ndani na nje ya nchi pamoja na kukubalika na rika zote.Ukisema mtangazaji mkubwa unamaanisha nini?
-umri?
-kipato?
-umaarufu?
Usiseme kutoka IPP media, sema kupitia. Wengi waliopitia hapo walitokea RTD, km anko J. Nyaisanga, Charz Hilari, Ahmed Kipozi, Abdalla Majura, Abubakary Liongo nk, na ndo waliweka msingi WA vipindi vingi vilivyopo leo
Dah hiki kipindi cha Ugua pole nilikuwa nakipenda sana enzi hizo miaka ya 1990, Hivi bado kipo?Ama kweli JF imejaa watoto siku hizi!
Halima Kihemba.
Sarah Dumba (RIP)
David Wakati.
Deborah Mwenda.
Tido Mhando.
Chilambo Dominic.
Jacob Tesha.
Tumbo Risasi.
Siwatu Luwanda.
Penzi Nyamungumi.
Rochus Matipa (External Service).
Neema Kipungahelo.
Khalid Ponera.
Idrisa Sadala.
Eda Sanga.
Chisunga Steven. (Ugua Pole).
Just to name a few.......
Hawa ni Legends katika sekta ya Utangazaji Tanzania. SALUTE.