Naomba kujuzwa kama kuna mtangazaji mkubwa wa redio na Televisheni za kiswahili ambaye hajapitia ITV na Radio one

enjai ya kyasha

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
3,073
3,604
Wakuu habari za mchana huu,

Natumai mu wazima wa afya na mnaendelea vyema kuijenga Tanzania ya viwanda. Moja kwa moja naomba nielekee kwenye mada;

Mimi ni msikilizaji wa Radios na mtazamaji wa TVs mbalimbali hapa nchini na nje ya nchi, ila katika usikilizaji wangu asilimia kubwa ya watangazaji nguli ninaowajua naona wametokea au katika career zao wamewahi kufanya kazi ITV na radio one, kwa mfano;
Salim Kikeke
Charles Hilary
Isack Gamba
Millard Ago
Maulid Kitenge
Regina Mziwanda
Hao ni kwa uchache. Sasa naomba kuwaulizeni wana jukwaa!

Je kuna mtangazaji mkubwa wa radio na TVs za kiswahili hajatokea IPP media?
 
Mkuu ila Radio iliotoa watangazaji wengi wenye majina hapa Tanzania,, ni Radio Free Africa/Sahara media group
Godwin Gondwe
Paul James Sweya
Alex Ngussa
KidBoy
SkyWalker
 

Mujuni Sylvester ' Mpoki ' na Kajala Wastara.
 
Ivona Kamuntu, Barbara Hassan, Masoud Kipanya ni watangazaji wazuri tu na sidhani kama wamewahi kufanya kazi ITV na Radio One
 
Ama kweli JF imejaa watoto siku hizi!

Halima Kihemba.
Sarah Dumba (RIP)
David Wakati.
Deborah Mwenda.
Tido Mhando.
Chilambo Dominic.
Jacob Tesha.
Tumbo Risasi.
Siwatu Luwanda.
Penzi Nyamungumi.
Rochus Matipa (External Service).
Neema Kipungahelo.
Khalid Ponera.
Idrisa Sadala.
Eda Sanga.
Chisunga Steven. (Ugua Pole).

Just to name a few.......
Hawa ni Legends katika sekta ya Utangazaji Tanzania. SALUTE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…