Naomba kujuzwa Jinsi ya Kurekebisha Picha Inayokatika kwenye Televisheni

cold water

JF-Expert Member
Oct 6, 2021
223
912
Habari zenu,

Poleni na majukumu. Natumia televisheni ya Rising pamoja na king’amuzi cha Azam TV. Mdogo wangu alibonyeza kitu kwenye rimoti, na sasa picha kwenye televisheni inajikata pamoja na menyu ya Menu.

Naomba msaada, nibonyeze wapi ili nirekebishe tatizo hili?

Ahsante sana!
 
Hii

IMG_20241128_192040_762.jpg
 
Back
Top Bottom