Shukrani mkuuHilo swali liliwahi kuulizwa humu na sehemu mbali mbali, na jibu lilikuwa hili; Haijarishi ni Bachelor of Medicine au Bachelor of Medicine and surgery zote ni kozi moja, na kitaalamu inaitwa Doctor of Medicine, yaani first degree of Medicine. Mengine ni mbwembwe tupu.