Ester505 JF-Expert Member Jul 14, 2020 794 1,032 Nov 13, 2023 #1 Naomba kujua kwa sasa kilo moja ya mwani ni shilingi ngapi? Gharama za kusafirisha mwani kutoka Tanzania hadi UAE ni shilingi ngapi? Nawasubiri kwenye komenti zenu. Asanteni.
Naomba kujua kwa sasa kilo moja ya mwani ni shilingi ngapi? Gharama za kusafirisha mwani kutoka Tanzania hadi UAE ni shilingi ngapi? Nawasubiri kwenye komenti zenu. Asanteni.
nzalendo JF-Expert Member May 26, 2009 10,906 10,287 Nov 13, 2023 #2 Watakujuza toka zenj mpaka kunako mpeketoni
Msanii Platinum Member Jul 4, 2007 22,731 29,986 Nov 13, 2023 #3 Mkuu watu wa. TANTRADE wana majibu yote. Ingia web yao utapata contacts zao
Kalaga baho JF-Expert Member Sep 27, 2020 5,718 11,744 May 10, 2024 #6 Akhi said: Mkuu nimekupm njoo tuongee zaidi Click to expand... Unahitaji au
mrangi JF-Expert Member Feb 19, 2014 81,730 107,842 May 10, 2024 #7 Duh kipindi niko mafia kg1 ilikuwa tsh 200,hivi sahv bei ikoje? Ova