habarini wana Jf,kuna mdogo wa mke amepata ugonjwa wa ajabu amekuwa ananyonyoka nywele kama mnavyoona yeye ni umri wa miaka 13 ,je huu ni ugonjwa gani tiba ni ipi.
Seems it runs in la familia sienteMadaktari wa jf karibuni kwa maoni, dogo asijekua na dongo kama langu, maana mimi nywele hazijawah kuota kwenye hili bichwa.
Duuh pole sana aisee,. Hospitali walisemaje kwani? Tatizo ni nini imesababisha hivyonilijitahidi kuitafuta hiyo oitment mji nilipo lakini skufanikiwa ila wakashauri nitumie betamethasone cream ndo amemaliza ya kwanza kwa sasa lakin sioni changes