Kelela Senior Member Nov 7, 2020 188 281 Jun 26, 2022 #1 Habari za leo wadau! Husika na kichwa cha nyuzi hapo juu. Naomba kujua kwa hapa Dar es Salaam - Kariakoo Ni Sehemu gani naweza kupata vyombo vya nyumbani kwa bei ya jumla ya chini. Nahitaji maelekezo yalipo maduka hayo. Natanguliza shukurani.
Habari za leo wadau! Husika na kichwa cha nyuzi hapo juu. Naomba kujua kwa hapa Dar es Salaam - Kariakoo Ni Sehemu gani naweza kupata vyombo vya nyumbani kwa bei ya jumla ya chini. Nahitaji maelekezo yalipo maduka hayo. Natanguliza shukurani.
Athuman Mpambije Athuman Member Jul 31, 2020 52 147 Jun 26, 2022 #2 Aggrey - Livingston, Aggrey - Sikukuu.
je parle JF-Expert Member Nov 28, 2018 2,022 3,900 Jun 26, 2022 #3 Kariakoo pale nyuma ya mtaa ule wa bakhresa wanapouza ice cream. Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Kariakoo pale nyuma ya mtaa ule wa bakhresa wanapouza ice cream. Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Evelyn Salt JF-Expert Member Jan 5, 2012 69,842 137,222 Jun 26, 2022 #4 Mtaa wa aagrey kule, wanapaita kwa Wachina
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 128,660 154,798 Dec 11, 2022 #6 Natumae mleta mada ulipata muongozo...
M Mnachihangu JF-Expert Member Oct 22, 2022 890 1,015 Dec 14, 2022 #7 Smart911 said: Natumae mleta mada ulipata muongozo... Click to expand... Unaona sifa mwenyewe