Naomba kufahamu hoteli nzuri Songea na usalama wa mji

Nilipiga hadi la saba pale, enzi hizo tunaita ly, nilikuwa ly 99, nikatoboa nikaenda vipaji Mzumbe, since then naenda kwa kubeep sana. Ila kila nikienda lazima nipite pale, kuna walimu walinifundisha bado wapo
Safi sana mkuu....
pamoja sana....
 
Aaahhaja habar ya Songea acha kabisa. Mkuu huo mji kama upo kibata bata uatenjoy sana.

Sogea pale La chazi ama Lamory... utapata vitu vyote hadi papuchi kama mtumiaji wa za mtaani.

Huko mzee kitimoto ni high class.

Chimbo poa Hunt Club, ipo ruhuwiko kama unaenda Mbinga. Ukizama hapo kukutoa utakapoletewa bill ..

Kimjini mjini hapo PNC hotel karibu na SAUT.

Dahh jamaa kaweka watoto wakali sijui kama bado wapo.

Ila kuwa makini pia maambukizi wanajitahidi.
 
Sikujuaga Kama songea Kuna hotel na hizo sehemu za starehe..Yani napaonaga panaboa..khaa!!
 
Aaahhaja habar ya Songea acha kabisa. Mkuu huo mji kama upo kibata bata uatenjoy sana.

Sogea pale La chazi ama Lamory... utapata vitu vyote hadi papuchi kama mtumiaji wa za mtaani.

Huko mzee kitimoto ni high class.

Chimbo poa Hunt Club, ipo ruhuwiko kama unaenda Mbinga. Ukizama hapo kukutoa utakapoletewa bill ..

Kimjini mjini hapo PNC hotel karibu na SAUT.

Dahh jamaa kaweka watoto wakali sijui kama bado wapo.

Ila kuwa makini pia maambukizi wanajitahidi.
Kuna binnti mmoja mapokez pale achaaaa
 
Back
Top Bottom