Tigress New Member Sep 30, 2022 1 1 Sep 30, 2022 #1 Naomba kufahamu aina ya lotion, cream au mafuta yanayofaa kwa ajili ya kuondoa madoa mwilini na yasiyochubua yaani kuondoa rangi ya asili. Pia naomba kufahamu kwa matumizi ya cream kama goldie pearlybeauty cream ni nzuri kwa matumizi ya rangi nyeusi.
Naomba kufahamu aina ya lotion, cream au mafuta yanayofaa kwa ajili ya kuondoa madoa mwilini na yasiyochubua yaani kuondoa rangi ya asili. Pia naomba kufahamu kwa matumizi ya cream kama goldie pearlybeauty cream ni nzuri kwa matumizi ya rangi nyeusi.
Loftins JF-Expert Member Oct 1, 2017 10,472 13,649 Oct 1, 2022 #2 Tumia Goldie ya Pakistan ni elfu 10 - 20 inategemea na eneo ulipo