Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Kama kuna mtaalamu wa masuala ya Katiba ya JMT na Itifaki za Nchi ya Tanzania, naomba mwongozo.
Nataka kumuelewa Mama Samia ni mara ya 2 sasa anamtuma Hussein Mwinyi kumuwakilisha Rais wa JMT nje ya nchi.
Je, Rais wa Z'bar ni mtu wa ngapi kiitifaki katika serikali ya JMT?
Anapotumwa yeye, Makamu wa Rais anakuwa na udhuru au ni matakwa tu ya Rais wa JMT kumtuma yeyote kuiwakilisha nchi, yaani hata mimi naweza kutumwa kuiwakilisha nchi?
Hili swali nimeuliza nieleweni Tu.