Naomba Kuelimishwa Hichi Kitu Kwenye Kampuni

Chief Ortambo Ikumenye

JF-Expert Member
Nov 16, 2017
247
497
Ikiwa kwa mfano kuna kampuni ya watu wawili (upo wewe na wife) na si huwa tunasikia kwamba kampuni ni mtu kisheria.

Sasa mfano shareholders (wewe na wife) mkaazimia kuikopesha kampuni ambapo ije kusomeka kwenye financials kama shareholders loan.

Sasa maswali yangu ni haya yafuatayo
1. Ili kujiweka safi dhidi ya TRA na mamlaka nyinginezo kama BRELA, kuna documentations zipi au taratibu zipi za kufuata ili kukamilisha hiyo transaction? (Je Board Resolution yaweza kutosha kusema kwamba shareholders wameazimia kuikopesha kampuni kiasi fulani kwa riba na tenor fulani?

2. Je, huo mkopo si una qualify kwa kampuni kulipa riba iliyokubaliwa? Au kuna any restrictions zozote

3. Na kwa mfano nikiamua kwamba niweke riba ya let say 25% au 30% per annum, je kunaweza kuwa na tatizo lolote?

Lengo langu haswa kuhusu hili swala na swali ni kwamba mimi ni mtu napendelea sana kufanya uwekezaji, sasa kulingana na long term vision nimeona kwamba kunaweza kuwa na advantage endapo nikiwa natumia kampuni kufanya hizo investments badala ya mimi kama private person.

Nahisi kwamba kuna advantage fulani fulani na ndo najaribu kuzi explore.
 
Kampuni inapoanzishwa shareholders huchangia mtaji. Mtaji ndo unakupa equity kwenye kampuni. Kwa mfano unaweza kuanzia kampuni yenye share 20,000 kwa mtaji wa TZ 10,000,000. So kila mwana hisa atalazimika kununu hisa na kiasi cha pesa anazotoa ndo kinathamanishwa na hisa atakazokuwa nazo. Kwa mfano mkiwa wawili mmoja akatoa TZS 7,500,000 atakuwa na hisa 15,000 sawa na 75% na atakaye toa 5,000,000 atakuwa na hisa 5000 sawa na 25% ya kampuni.

Sasa baada ya kutoa kiasi cha mtaji mnaohitaji ikiwa bado kuna uhitaji wa kuongeza mtaji mnaweza kuongeza kwa njia mbili.
1. Kuongeza hisa zikafika say 30,000,000 halafu mkanunua hizo shares 10,000,000 zilizoongezeka ili kuongeza mtaji.
2. Kuacha hisa kama zilivyo na kuamua kukopa fedha popote pale. Mwanahisa pia anaweza kuikopesha kampuni.

Mkopo wowote ni lazima uidhinishwe na Board ya kampuni. So mtaandaa kikao na kuandika muhutasari unao onyesha kuwa Board imeridhia kukopa na condition za mkopo ikiwemo interest.

Then mtaandaa mkataba ambao utasainia na mwenyekiti wa Board, na mkopeshaji husika.

Deni litasomeka kama liability kwenye vitabu vya kampuni na malipo ya mkopo hayana kodi. Ila yule anayepokea marejesho hatalipa akipokea principal amount ila atatakiwa kulipa kodi akipokea faida (interest) hii itakatwa kodi kama personal income tax.

Kingine cha kuzingatia ili usiingie kwenye migogoro ni kuangalia riba iwe within the market interest. Kwa mfano kwa sasa riba nyingi hazizidi 17%. Kujipa mkopo wa 30% inaweza kuonekana kama aina fulani ya kuhujumu kampuni. Vyombo husika vinaweza kufuatilia kujua kama ulikuwa na motive gani na hivyo kukuletea shida.

Kwa sasa ni hayo tu.
 
Hiyo option ya kuongeza hisa si inabidi kufanya alteration ya Memart of which ni process yenye mlolongo mrefu.

Hapo kwenye riba nimekuelewa, kwamba inatakiwa iwe ina reflect market.

Issue yangu kubwa sasa, ni namna gani hii process inaweza kukamilika ya mimi kuikopesha kampuni. Kuna taratibu zipi za kufuata ili isionekane baadae kuna taratibu zilivunjwa
 
Mkuu hapo kwenye kipengele cha shareholder kuikopesha kampuni ambayo yeye ni shareholder inafanya kazi kwa mujibu wa practice ya Tanzania?
Kama jibu ni 'ndiyo' je kwa hivi karibuni umeshuhudia kampuni ikiruhisiwa kufanya hiki kitu?

Asante
 
mbona kama imekaa kiutata ni kama unafanya money laundering maana kampuni ni yako tena changa alafu ni mkurugenzi na mmiliki unajikopesha pesa kwa mlolongo huo na jinsi nchi hii ilivyojaa wanaa hawachelewi kukutia mbaroni kwa kesi ya kutakatisha pesa si unaikopesha kampuni alafu tena kampuni ikurudidhie hiyo pesa na kwa vile ww ndio top kwenye kampuni bila shaka utakuwa mmoja wa signatory kwenye benki akaunti ya kampuni.!
 
Kwenye operation ya kampuni ipo... kama kampuni ni mtu kisheria maana yake mimi shareholder naweza kuikopesha. Nimejaribu kuifuatilia google, hizi ni wanaziita related party transactions.

Ila sasa hoja yangu kubwa ilikuwa ni namna ninaweza ku implement hichi kitu practically
 
Money laundering inakujaje hapo sasa? Yaani mfano mimi kama shareholder nina miliini 10 kwa account halafu kampuni yangu niliifungua kwa mtaji mdogo wa milioni 1, sasa kuna fursa nimeona ya kuwekeza, sasa inakuwaje ni money laundering ikiwa mimi shareholder nitaikopesha kampuni ili ku pursue hiyo fursa?

Inaonekana labda hii sio common practice ila ni jambo linalowezekana na mimi lengo la kufungua huu uzi ilikuwa ni kupata miongozo ya namna bora ya kutekeleza aina hii ya transaction
 
Kwenye operation ya kampuni ipo... kama kampuni ni mtu kisheria maana yake mimi shareholder naweza kuikopesha. Nimejaribu kuifuatilia google, hizi ni wanaziita related party transactions.

Ila sasa hoja yangu kubwa ilikuwa ni namna ninaweza ku implement hichi kitu practically
Nimeuliza swali langu kwa sababu kabisa. Hii practice kwa nchi yetu sidhani kama ipo ama inaruhusiwa, yaani hujalipia hisa zako halafu wewe mwenyewe uikopeshe kampuni yako? Tuzidi kuchimba na kujielimisha na ndio maana nikamuuliza aliyejibu.
 
Kwani nani ame raise hiyo issue ya kutokulipia hisa? Mimi sijasema jambo lolote kuhusiana na hisa za kampuni.

Anyway, inawezekana hichi kitu kimekosa mtaalamu ngoja niendelee kukifukua taratibu. Kuna makampuni Tz hii hii yanafanya hichi kitu
 
Ikiwa kwa mfano kuna kampuni ya watu wawili (upo wewe na wife) na si huwa tunasikia kwamba kampuni ni mtu kisheria.

Sasa mfano shareholders (wewe na wife) mkaazimia kuikopesha kampuni ambapo ije kusomeka kwenye financials kama shareholders loan.

Sasa maswali yangu ni haya yafuatayo
1. Ili kujiweka safi dhidi ya TRA na mamlaka nyinginezo kama BRELA, kuna documentations zipi au taratibu zipi za kufuata ili kukamilisha hiyo transaction? (Je Board Resolution yaweza kutosha kusema kwamba shareholders wameazimia kuikopesha kampuni kiasi fulani kwa riba na tenor fulani?

2. Je, huo mkopo si una qualify kwa kampuni kulipa riba iliyokubaliwa? Au kuna any restrictions zozote

3. Na kwa mfano nikiamua kwamba niweke riba ya let say 25% au 30% per annum, je kunaweza kuwa na tatizo lolote?

Lengo langu haswa kuhusu hili swala na swali ni kwamba mimi ni mtu napendelea sana kufanya uwekezaji, sasa kulingana na long term vision nimeona kwamba kunaweza kuwa na advantage endapo nikiwa natumia kampuni kufanya hizo investments badala ya mimi kama private person.

Nahisi kwamba kuna advantage fulani fulani na ndo najaribu kuzi explore.
Niwe mkweli sijakuelewa kabisa kabisa.
Au ni hicho kizungu au ni nini sijui?
 
Kwani nani ame raise hiyo issue ya kutokulipia hisa? Mimi sijasema jambo lolote kuhusiana na hisa za kampuni.

Anyway, inawezekana hichi kitu kimekosa mtaalamu ngoja niendelee kukifukua taratibu. Kuna makampuni Tz hii hii yanafanya hichi kitu
Umejuaje?
Sasa siye tufanyaje?
 
Kwenye operation ya kampuni ipo... kama kampuni ni mtu kisheria maana yake mimi shareholder naweza kuikopesha. Nimejaribu kuifuatilia google, hizi ni wanaziita related party transactions.

Ila sasa hoja yangu kubwa ilikuwa ni namna ninaweza ku implement hichi kitu practically
Kumbe kitu chenyewe tayari unakijua.......mkuu vepee?
Unakulaga ndumu?
 
Hiyo option ya kuongeza hisa si inabidi kufanya alteration ya Memart of which ni process yenye mlolongo mrefu.

Hapo kwenye riba nimekuelewa, kwamba inatakiwa iwe ina reflect market.

Issue yangu kubwa sasa, ni namna gani hii process inaweza kukamilika ya mimi kuikopesha kampuni. Kuna taratibu zipi za kufuata ili isionekane baadae kuna taratibu zilivunjwa
Kabla ya kuanzisha kampuni lazma unakuwa na maono ya muda mfupi na muda mrefu kwahyo kwenye kuandika hyo Memart hayo mambo unatakiwa kuwa umeyaweka kwenye considerations.
 
Ikiwa kwa mfano kuna kampuni ya watu wawili (upo wewe na wife) na si huwa tunasikia kwamba kampuni ni mtu kisheria.

Sasa mfano shareholders (wewe na wife) mkaazimia kuikopesha kampuni ambapo ije kusomeka kwenye financials kama shareholders loan.

Sasa maswali yangu ni haya yafuatayo
1. Ili kujiweka safi dhidi ya TRA na mamlaka nyinginezo kama BRELA, kuna documentations zipi au taratibu zipi za kufuata ili kukamilisha hiyo transaction? (Je Board Resolution yaweza kutosha kusema kwamba shareholders wameazimia kuikopesha kampuni kiasi fulani kwa riba na tenor fulani?

2. Je, huo mkopo si una qualify kwa kampuni kulipa riba iliyokubaliwa? Au kuna any restrictions zozote

3. Na kwa mfano nikiamua kwamba niweke riba ya let say 25% au 30% per annum, je kunaweza kuwa na tatizo lolote?

Lengo langu haswa kuhusu hili swala na swali ni kwamba mimi ni mtu napendelea sana kufanya uwekezaji, sasa kulingana na long term vision nimeona kwamba kunaweza kuwa na advantage endapo nikiwa natumia kampuni kufanya hizo investments badala ya mimi kama private person.

Nahisi kwamba kuna advantage fulani fulani na ndo najaribu kuzi explore.
Sitaki ongelea hayo mambo ya mikopo maana siyajui sana ila nnaona kuna error umeifanya bila kujua..

Kosa lako la kwanza ni kumuweka wife kwenye kampuni.

Kosa la pili ni kama utakua umempa hisa zaidi ya moja.

Unless mke wako awe kati ya 1% wenye akili na busara otherwise jiandae kulia na kusaza meno siku si nyingi.
 
Ninachojua kufungua kampuni Kwa mujibu wa sheria za Tanzania, ni lazima wamiliki waanzilishi wawe kuanzia wawili. Hiyo kanuni naiona ni changamoto kubwa kwani maono na ndoto za Maisha ni za mtu binafsi. Sasa ikiwa unataka baadaye kampuni irithishwe kizazi chako ambapo wakati wa kufungua huna watoto wakubwa, utafanyaje zaidi ya kumuweka pia mke wako (ingawa moyoni hautaki) hata kwa share ndogo Ili kutimiza kanuni ya kuwa zaidi ya mtu mmoja?
 
Sitaki ongelea hayo mambo ya mikopo maana siyajui sana ila nnaona kuna error umeifanya bila kujua..

Kosa lako la kwanza ni kumuweka wife kwenye kampuni.

Kosa la pili ni kama utakua umempa hisa zaidi ya moja.

Unless mke wako awe kati ya 1% wenye akili na busara otherwise jiandae kulia na kusaza meno siku si nyingi.
Kulingana na sheria zetu mkuu, ila sasa nisimuweke wife halafu nimuweke nani tena???
 
Back
Top Bottom