Dahan
JF-Expert Member
- Oct 26, 2022
- 2,576
- 5,958
Pole Sana, huna hata dawa za kutuliza maumivu? Ukipata Karafuu au mafuta ya taa yanaweza kukusaidia pia kwa muda utaosubiri kwenda hospitali.Jamani nisaidieni, mwenzenu sijawahi kuumwa jino huko nyuma ila sasa nahisi maumivu kwenye meno ya mwisho mpaka sikioni na kushuka kwenye shingo.
Sijalala mpaka saivi nisaidieni