GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,149
- 119,884
Naunga mkono hoja jamaa anapambana sana yaani sanaLaiti Wachezaji wote wa Taifa Stars iliyoyaaga Usiku huu Mashindano ya AFCON huko nchini Ivory Coast
Hongera beki mahiri Ibrahim Baka.
Laiti Wachezaji wote wa Taifa Stars iliyoyaaga Usiku huu Mashindano ya AFCON huko nchini Ivory Coast wangekuwa na Spirit ya Beki Ibrahim Bska nina uhakika Tanzania tusingetolewa mapema hivi.
Kwangu Mimi huyu Beki Ibrahim Baka ndiyo ambaye Watanzania tunatakiwa tumpokee kwa Heshima zote wakirejea kwani ndiyo ameonyesha kweli kuwa amekamilika Kiuzalendo na alienda kweli kuipambania Bendera ya Taifa huko Mashindanoni.
Yanga SC najua nyie ni Watani zangu nikiwa kama mwana Simba SC tukuka Ila hongereni kwa kumuoa huyu Mchezaji tokea akiwa Kwao Kisiwani Zanzibar, Kumlea na Kumtengeneza kupitia Makocha wenu mahiri na hakika Beki Ibrahim Bska ataendelea kuwa Alama bora ya Uzalendo na Upambaji wa Taifa katika Timu ya Taifa ( Taifa Stars ) na GENTAMYCINE mapendekezo kama si sasa basi baadae apewe rasmi Usinga / Unahodha wa Kikosi cha Taifa Stara na Kitamfaa sana na atakitendea Haki kuliko Mafaza na Mabrazameni wengi walioko Kukosini Taifa Stars.
Hongera beki mahiri Ibrahim Baka.
Game na morocco alizingua sana upande wake ulikua uchochoro ila game za zambia na congo kajitahidi tatizo akipanda hapigi krosi kwa usahihiVipi kuhusu Tshabalala
Ni Nahodha wangu Simba SC ila kiukweli wala hajanifurahisha kwa Kiwango chake ambacho ukiwa tu Mtaalam wa Soka / Mpira utagundua kuwa Kimeshuka sana na sijui kwanini hata alikuwa akipangwa.Vipi kuhusu Tshabalala
Precisely Chief.Jamaa angekua na mwili nyumba maskauti wa timu za ulaya ambao wapo afcon kusaka vipaji lazima wangeondoka na jina lake.
Acha usinikumbushe Cannavaro, binafsi yule ndio mchezaji wangu bora wa muda wote Yanga.Kwahiyo mnaunga Mkono kauli ya Mzilankende kwamba Timu ya Taifa itokane na Wanajeshi!
Bacca ni zao la Jeshi, Yule Mpemba anajituma sana akiirithi vyema Mikoba ya Canavaro pale Uto!
Simba tuliwahi kuwa naye Mpemba mwingine SOUD ABDI na CHOLLO ilikuwa ni VITA NI VITA MURA. They always apply JIHAD
Kitakwimu jana alikuwa kinara kwà upande wetu alana 4.0Game na morocco alizingua sana upande wake ulikua uchochoro ila game za zambia na congo kajitahidi tatizo akipanda hapigi krosi kwa usahihi
Naunga mkono jicho ulilotumia kumuona Bacca.Laiti Wachezaji wote wa Taifa Stars iliyoyaaga Usiku huu Mashindano ya AFCON huko nchini Ivory Coast wangekuwa na Spirit ya Beki Ibrahim Bska nina uhakika Tanzania tusingetolewa mapema hivi.
Kwangu Mimi huyu Beki Ibrahim Baka ndiyo ambaye Watanzania tunatakiwa tumpokee kwa Heshima zote wakirejea kwani ndiyo ameonyesha kweli kuwa amekamilika Kiuzalendo na alienda kweli kuipambania Bendera ya Taifa huko Mashindanoni.
Yanga SC najua nyie ni Watani zangu nikiwa kama mwana Simba SC tukuka Ila hongereni kwa kumuoa huyu Mchezaji tokea akiwa Kwao Kisiwani Zanzibar, Kumlea na Kumtengeneza kupitia Makocha wenu mahiri na hakika Beki Ibrahim Bska ataendelea kuwa Alama bora ya Uzalendo na Upambaji wa Taifa katika Timu ya Taifa ( Taifa Stars ) na GENTAMYCINE mapendekezo kama si sasa basi baadae apewe rasmi Usinga / Unahodha wa Kikosi cha Taifa Stara na Kitamfaa sana na atakitendea Haki kuliko Mafaza na Mabrazameni wengi walioko Kukosini Taifa Stars.
Hongera beki mahiri Ibrahim Baka.
Haji mnoga mwili nyumba zito kama temboJamaa angekua na mwili nyumba maskauti wa timu za ulaya ambao wapo afcon kusaka vipaji lazima wangeondoka na jina lake.
Tatizo umri Vincent Abubakar vilabu kibao ulaya vilikuwa vinamtaka ila umri umeenda watu wanakupima kwenye scanner hutoboi umri wa kwenye vyeti washaona wachezaji wanadanganya.Jamaa angekua na mwili nyumba maskauti wa timu za ulaya ambao wapo afcon kusaka vipaji lazima wangeondoka na jina lake.