stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,167
- 26,143
Mkuu we sema ukweli tu ulikuwa unapiga chabo,ila hata hivyo bado hawajakuona...Mimi kichwa changu kibovu sana, yaani niliposoma mafuta ya parachute nikagoma kufungua uzi huu nikidhani kuwa mwaongelea vilainishi, sasa bahati mbaya wakati na bofya uzi mwingine nikajikuta niko huku, kumbe mwaongelea mafuta ya nazi. Basi sawa.