Naomba Bakita iingilie Kati kwani tafsiri ya John 1:18 kwenda lugha ya kiswahili imepotoshwa kwa makusudi maalumu

Kwa nini Bakita mkuu......Kwa nini usiende kwenye original manuscripts....Au una ajenda nyingine.....Bakita inaweza kutoa taafsri yoyote kwenye Maandiko ya dini....Inaweza kufanya hiyo kwenye Quraan.....?
Original manuscript

No man hath seen God at any time; the only begotten Son, which is in the bosom of the Father, he hath declared him.
-- John 1:18
KJV Holy Bible Bíblia Sagrada Consigo
 
Mkuu TOHATO:

Mwanadamu ni religious being! Dini haziwezi kufa kabisa, ziko ndani ya mwanadamu! Ulitoka wapi, kwa nini unaishi, kunamaisha ya baada ya kifo, kuna nguvu nyingine juu ya maisha mwanadamu itaendelea kumsumbua mwanadamu.
Karl Max, mwaka 1843 alisema dini ni bangi, katika kijitabu chake kimoja, iko kumfanya binadamu ajisahaulishe matatizo yake kwa muda, na kungojea furaha za milele! Na aliamini kabisa dini zitakufa natural death...! Leo ni miaka mingapi dini zimeshindwa kufa! Sisemi Ukristo wala Uislamu! Dini za kila aina zimegoma kufa! Zinapanda zinashuka, na zinakuja kwa njia nyingi mno.....!

Hivyo mkuu licha ya kutilia shaka, kila kukicha mauzo ya vitabu vya dini, licha ya watu kujaribu kuonyesha mapungufu yake, ndio inazidi kuongezeka.
Mkuu labda hujaelewa .maana yake binadamu kila siku anakuwa bora kuzidi jana .enzi za yesu watu wakipata ukoma akiwa hai walikuwa wanatupwa msituni wasiambukize wengine na yesu ameshuhudia vifo vya hivo vingi.akaponya wakoma akasifiwa .Leo wanasayansi wamekuja na Kinga ya ukoma duniani huwa hakuna ukoma sayansi imemshinda yesu.sasa sayansi Inapata majibu kila siku .mfano Iran wako dakika za mwisho kuunda kongosho bandia .maana yake wakiweza hakuna mwanadamu ataumwa kisukari milele.yaan ifikapo 2350 wanadamu watakuwa rasmi wanatibu kila kitu na watagundua dawa ya kutozeeka .ndo maana wazungu wanachukia kuzaana sana .wanataka dunia iwe na watu wachache sio bil 8 wanaolala njaa mara iq za Genes mbovu . Wanadamu kila bara wawe mili 100 tu yaani dunia iwe na watu bil 2 tu na wasiwe wanaongezeka kwa maana ya uzazi wa mpango .wananyama wawe wakutosha bila kuwindwa waishi kwa amani dunia iwe kijani kibichi .wanadamu watagundua Kinga za magonjwa yote na viungo dhaifu kama kongosho ,maini,moyo vitawekewa vya kupandikiza visivozeeka wala kuchakaa mwanadamu ataishi labda miaka 700 ikifika ataagwa kwa sherehe na kuuliwa kistaarabu baadae atazaliwa kichanga .watoto watakuwa wanaishi miaka 700 kwa uhakika wa 90%.baada ya hapo hawatakuwa na stress za ndoa .hawataugua .watakuwa na uhakika wanakufa lini .chakula kitakuwa cha kutosha .hakutakuwa na obesity je unafikili wataenda kanisani kufanya nini? Ili waombe nini?
 
Ikifika mwaka 2,500 kutakuwa hakuna kanisa wala msikiti. Sisi tutaonekana leo tulikua vituko kwa kuamini hizi dini. Watatuona tulipumbazwa mno. Hakutakuwa na mwanazuoni hata mmoja. Dunia itakuwa sehemu nyingine kabisa. Wanawake hawatabeba mimba matumboni. Mtu ataishi London na kufanya kazi Zanzibar. Watashangaa Mungu ndio kitu gani na amewahi kufanya nini.
Endelea kuota mkuu
 
Mkuu labda hujaelewa .maana yake binadamu kila siku anakuwa bora kuzidi jana .enzi za yesu watu wakipata ukoma akiwa hai walikuwa wanatupwa msituni wasiambukize wengine na yesu ameshuhudia vifo vya hivo vingi.akaponya wakoma akasifiwa .Leo wanasayansi wamekuja na Kinga ya ukoma duniani huwa hakuna ukoma sayansi imemshinda yesu.sasa sayansi Inapata majibu kila siku .mfano Iran wako dakika za mwisho kuunda kongosho bandia .maana yake wakiweza hakuna mwanadamu ataumwa kisukari milele.yaan ifikapo 2350 wanadamu watakuwa rasmi wanatibu kila kitu na watagundua dawa ya kutozeeka .ndo maana wazungu wanachukia kuzaana sana .wanataka dunia iwe na watu wachache sio bil 8 wanaolala njaa mara iq za Genes mbovu . Wanadamu kila bara wawe mili 100 tu yaani dunia iwe na watu bil 2 tu na wasiwe wanaongezeka kwa maana ya uzazi wa mpango .wananyama wawe wakutosha bila kuwindwa waishi kwa amani dunia iwe kijani kibichi .wanadamu watagundua Kinga za magonjwa yote na viungo dhaifu kama kongosho ,maini,moyo vitawekewa vya kupandikiza visivozeeka wala kuchakaa mwanadamu ataishi labda miaka 700 ikifika ataagwa kwa sherehe na kuuliwa kistaarabu baadae atazaliwa kichanga .watoto watakuwa wanaishi miaka 700 kwa uhakika wa 90%.baada ya hapo hawatakuwa na stress za ndoa .hawataugua .watakuwa na uhakika wanakufa lini .chakula kitakuwa cha kutosha .hakutakuwa na obesity je unafikili wataenda kanisani kufanya nini? Ili waombe nini?
Interesting!
 
Wadau wote wa JF nawasalimu kwa jina la Bwana

Niseme wazi kuwa tafsiri ya Yohana ( John) 1:18 kwenda lugha ya kiswahili imepotoshwa kwa makusudi kukidhi Imani za watu wanaoamini kwenye fundisho la Utatu

Neno "the only begotten Son" tafsiri yake sahihi Kwa lugha ya kiswahili ni "Mwana Pekee wa Mungu" na siyo MunguMwana.

Nimeweka fungu hilo kwa lugha zote mbili kwa rejea yenu.

Baraza la Kiswahili Tanzania naomba msaada wenu tafadhali
Niwatakie sabato njema

•No man hath seen God at any time; the only begotten Son, which is in the bosom of the Father, he hath declared him•

•Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua. Ushuhuda wa Yohana Mbatizaji•
Kwamba BAKITA ndio watafsiri mambo ya Mungu...

Wallah mbinguni tutaenda kulala stoo...
 
Interesting!
Kwamba yesu alikuwa anatembea na mashua usiku kucha mpaka ana risk maisha na kwa macho yake kazika nduguze wengi waliokufa kwa maji.leo wanadamu wanatembea na speed boat umbali huo huo kwa dakika 45 na mwaka mzima hawapati ajali.ina maana yesu alikuwa aidha anapenda mateso na vifo au alikuwa anaelimu ndogo kiasi cha kupitwa na wanasayansi wa leo ambao sio hata wachamungu.baada ya miaka mia wajukuu zetu watahoji haya kwa ukari kabisa na watakuwa na akili nzuri kutuzidi watatudharau sana .kama ambavo sisi tunawashangaa wahadzabe ni kwamba wale wamegoma kuhoji mambo
 
Mwanzo 1:26 inathibitisha kuna utatu mtakatifu. Au alivyokua anaumba mtu alikua anajadiliana na malaika?

Au ni hadithi zilizotungwa na watu?
Mkuu hakuna utatu mtakatifu kwenye bible kuanzia mwanzo hadi ufunuo hakuna utatu mtakatifu, utatu mtakatifu ni fundisho la uongo. Mungu kumbuka Mungu anapenda ushirika hivyo lazima akae na jeshi lake mbinguni. Hebu soma 1wafalme 22 uone nabii mikaya aliona nini mbinguni Mungu alikaa na kina Nani mbinguni ndipo utakapogundua kuhusu mwanzo 1:26

Soma mwanzo 22:16 inasema Mungu aliapa kwa nafsi yake sio zake. Mungu ana nafsi moja Tu.
 
Lugha ya asili ya hilo andiko ni kiyunani/kigiriki kifuatacho;
Θεὸν οὐδεὶς ἑώρακεν πώποτε· μονογενὴς Θεὸς ὁ ὢν εἰς τὸν
κόλπον τοῦ Πατρὸς, ἐκεῖνος ἐξηγήσατο.

Ukitafsiri neno kwa neno hiki ndo unakipata kwa kiingereza;
God no one has seen ever yet; [the] only begotten God, the [One] being in the bosom of the Father, He has made [Him] known.

Suala la Utatu wa Mungu linaelezeka lakini sio kwa kutumia andiko hili
Hakuna utatu wa Mungu kwenye bible Mungu ni mmoja mwenye nafsi moja Tu.
 
Back
Top Bottom