sarcomere1
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 306
- 580
Wakuu bando la kudownload movie mnapata wapi? Mbona Mimi Jf yenyewe naingia kwa kuibia ibia
Unaweza kuziingiza kwenye file za simu yakoLakini Movie haziingii kwenye file za simu au simu yangu tu
Nunua mkuu....Wakuu bando la kudownload movie mnapata wapi? Mbona Mimi Jf yenyewe naingia kwa kuibia ibia
unaingizajeUnaweza kuziingiza kwenye file za simu yako
🤣🤣 WIFI unayama bando la simu bando la 1000 linaisha na movie moja ujapakuaWakuu bando la kudownload movie mnapata wapi? Mbona Mimi Jf yenyewe naingia kwa kuibia ibia
Tumia hiyo👆 Torrent Uttorent ni the best kwenye kushusha movies..daah..unanikumbusha mbali sana enzi za chuo nilikua nashusha movies si mchezo kwa laptop au hata Simu kama ina nafasi kubwa.Tumia torrent uTorrent(ipo playstore na pc tumia qbittorrent)website zake NI torrentgalaxy.to na yts
.mx 1337x.to hapo uwezi kosa muvi ze ye high quality hakikisha tu una adblocker (ublock) so tumia Firefox afu add to extension ya ublock
Netnaija inafanya kazi na ninaitumia. Labda kama iwe imefungwa jana.Netnaija hamna movie tena mzee
Kama website mwambie atumie Awafim.tv
Mimi sijasema Netnaija imefungwa, nimesema hamna movieNetnaija inafanya kazi na ninaitumia. Labda kama iwe imefungwa jana.
Ingia kwenye list ya download zako. Nenda kwenye movie unayotaka kuhamishia kwenye internal storage, gusa vidoti vitatu vilivyopo kulia kwenye hiyo movie. Angalia hapaunaingizaje
Mwamba unatishaaaaIngia kwenye list ya download zako. Nenda kwenye movie unayotaka kuhamishia kwenye internal storage, gusa vidoti vitatu vilivyopo kulia kwenye hiyo movie. Angalia hapaView attachment 2862169
Ukibonyeza hapo zitakuja option hizi nne. We chagua "Transfer file"View attachment 2862170
Ukibonyeza transfer file inakuleta hapa. Tap hapo walipoandika "My Albums"
Halafu tap hapo chini walipoandika "Transfer"View attachment 2862171
Baada ya hapo movie itaanza kutransfer kwenda kwenye storage. Hii process haichukui hata sekunde 3View attachment 2862172
Ukifanya hivyo tu umeshamaliza kazi
Unamaanisha streaming, kama ni streaming bora atumie hii app ya OnstreamGoojara.com. ndio funga kazi
I'm very sorry brother, uko sahihi! Site ninayoitumia ni NKIRI na sio NETNAIJA.Mimi sijasema Netnaija imefungwa, nimesema hamna movie
Tuma screenshot ya page yenye movie Netnaija hapa
Mimi sijasema Netnaija imefungwa, nimesema hamna movie
Tuma screenshot ya page yenye movie Netnaija hapa
Hiyo sio official website ya Netnaija. Ni fan made ndio maana umekimbilia kuipost hapa. Hiyo ni Netnaija.xyz
Sawa Mkuu ... lakini napakua movie .. ahsante kwa mwongozo.Hahaha hiyo sio official website ya Netnaija. Ni fan made ndio maana umekimbilia kuipost hapa. Hiyo ni Netnaija.xyz
Kama ulikuwa haujui official website ya Netnaija ni thenetnaija.net
Sio hiyo uliyoleta hapa
Yeah, nimewahi kutumia hiyoSawa Mkuu ... lakini napakua movie .. ahsante kwa mwongozo.