kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,172
>>> JAZA MKOJO tu ! litawaka >>
Wewe si dereva wala gari hujaazimwa ila umeiba gari ili ujifunze kuendesha. Maelezo yako yanathibitisha hilo. Ila uwe makini sana usijeligongesha kwani hapo ndo itakuwa kasheshe.Ile inayobandikwa haina... Copy cjaona
Huyo kakwiba gari home ili ajifunze kuendesha, hivyo hawezi uliza.Kwani ukimuuliza kuna kosa gani as long as unajaza kwa pesa yako, sasa jichanganye utie diesel badala ya petroli uone picha litakavyo kuwa
Sio lazma umwambie mafuta yameisha.Unaweza kumpgia baada ya mazungumzo kidgo muulize ivi gari aina kama yako huwa zinatumia patrol au diesel?Helo wana jf habarini za muda huu. Mtu kaniachia gari lake kwa kua tu najua kuendesha. Ila sasa nimeendesha mpaka limeishiwa mafuta. Nataka kwenda kuweka mafuta ila sijui ni petrol /aina gani? "sijawahi jaza gari yeyote mafuta "
Nisaidieni.... Nikifika kituo cha kujaza niseme nn. Jamaa siwez muuliza coz anaweza chukia na sitaki.
Mm ninalo la kwangu nyie mnaopenda kuazima bila kufahamu matumizi ndio mnasumbua watuNdio wewe unae anae kuazima?
Weka Petrol. Most of them uses Petrol