Habari wanajamvi?
Kwanza naomba niseme mie nimezaliwa na kukulia uswazi mpka nilipoanza maisha ndio nikahamia walau nusu uswazi...
Uswahilini kwetu kwa wale wa maeneo ya tandika,maguruwe,yombo,temeke kwa maganga na sehemu nyinginezo mnakumbuka mziki wa MNANDA ambao ni kinanda kidogo lakini kinapigwa kwa umahiri mpaka mziki ukaitwa "MNANDA".
Kwakua mziki huu ulihusisha vibaka wengi polisi walidhibiti na taratibu mziki huu ukapotea... Achama na mnanda wa marehemu Omary Omary ulikua wa kisasa ingawa nae alikua muanzilishi enzi hizo maemeo ya temeke TP.
Hivi Tanzanite aliyeimba Singeli ni yupi na yuko wapi?
Mkuu nyimbo za Hao gari kubwa(Hisani musical club) unazo? maana nimeangalia mtandaoni sizioniwewe KINANDA a.k.a gita mwananyamala enzi hizo miaka 93 94 kama sikosei basi 95
na kina MUDDY KADOGO na kundi zima la HISANI MUSICAL CLUB lilikuwa maskani yake pale MWANANYAMA Kwa manjunju na album yao ya GARI KUBWA TISHIO ikiambatana na nyimbo kali zenye vionjo vikari kama
nalialia ooh mamaoo uko wapi mama ooh
shemeji kaulamba mkopo wa sukari
nataka kubebwa ooh nataka kunyonya eeh
na vingne vingi
kabla baadae kuja 7suvival then ikaja JAGWA MUSIC watoto wa jolijo wanaosumbua sasa hivi ingawaje jagwa ya kitamba miaka ya 2000 ndo ilikuwa chikopa zaidi
hatari sanaa
Muddy Kagodowewe KINANDA a.k.a gita mwananyamala enzi hizo miaka 93 94 kama sikosei basi 95
na kina MUDDY KADOGO na kundi zima la HISANI MUSICAL CLUB lilikuwa maskani yake pale MWANANYAMA Kwa manjunju na album yao ya GARI KUBWA TISHIO ikiambatana na nyimbo kali zenye vionjo vikari kama
nalialia ooh mamaoo uko wapi mama ooh
shemeji kaulamba mkopo wa sukari
nataka kubebwa ooh nataka kunyonya eeh
na vingne vingi
kabla baadae kuja 7suvival then ikaja JAGWA MUSIC watoto wa jolijo wanaosumbua sasa hivi ingawaje jagwa ya kitamba miaka ya 2000 ndo ilikuwa chikopa zaidi
hatari sanaa
Slim5 mkuu unazo nyimbo za gari kubwa uziweke hapa.Muddy Kagodo
Bwana Kulwa
Zembwela
Kicheko
Mfaume
Chidide
Thomson...
"Nilipowaaga wa Kariakoo,
Nikawaaga pia Amana.
Nikawaaga wa Ilala Noma.
Nikawaeleza narudi Nyumbani
Narudi Nyumbani kwa Baba na Mama,
Narudi kwetu nilipozaliwa..
Nipe, nipe, nipe bwana Kulwa"
Mzimu wa Kolelo Ahsante.