Nani Comedian/Mchekeshaji mzuri duniani?

Sacha baron ni noma sana tizama movie yake ya dictator na brothers grimsby yuko vizur sana
 
Mtafute huyu
fc4b5679366bb138f9101ed4c460cffd.jpg

Anaitwa Charlie Chaplin

Ulete mrejesho
Na nafikiri huyu ni role model wa mr bean
 
Back
Top Bottom