buthabutha
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 659
- 396
Basi kama ni hivi nadhani Mimi siwaridhishi na pengine huwa ' nawaparaza ' tu Mkuu kwani tokea nibalehe miaka ile ya 60 hadi sasa sijawahi kuambiwa neno asante ila neno ninaloambiwa mara kwa mara ni ' unaniachaje naomba hela ya sabuni ' tu.



