Nani anahusika na mfumo wa malipo wa serikali - GEPG?

t blj

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
6,906
16,310
Habari wakuu,

Kwa wanafanya malipo ya serikali watakubaliana nami kuwa, mfumo wa kulipia na kuhakiki malipo wa serikali " government e payment gateway" (GEPG), haufanyi kazi vizuri kwa takriban mwezi sasa! Hali hii inasababisha usumbufu mkubwa wa kufanya na kuhakiki malipo ya serikali.

Ni Nani anahusika na matemgenezo ya mfumo huu? Mfumo unahujumiwa? Wenye kujua tatizo watujuze.
 
App inazingua sana hii yani ni mbovu sijawahi ona
 

Attachments

  • IMG-20240727-WA0025.jpg
    IMG-20240727-WA0025.jpg
    11.6 KB · Views: 5
Hivi kuna mtu anajua namna nyingine ya kulipia kodi ya Ardhi nje ya app na menu ya simu coz zote nimejaribu na zinakaa kabisa
 
Back
Top Bottom