Nani ameruhusu Yono Auction Mart kukagua magari barabarani? Kwanini?

Wao wanawahi barabarani ili kuchelewesha wenzao kwa kisingizio cha kukagua. Mi sibandiki stika yao. Kwanza mtengenezaji haruhusu kitu chochote kwenye kioo cha mbele. Pili hawa wanatoa karatasi tu bila kutoa stika ya kubandikia.
Hivi yono wana uwezo kuzidi jeshi la polisi au TRA ?
 
Mimi siku zote sinaga vimeo kwenye gari yangu , kwahiyo sifahamu hasa anayekutwa na kosa wanamfanyaje , lakini wanakusimamisha kwa msaada wa polisi , sasa ukishaona kofia si unasimama , sasa badala ya kuja ndata unashangaa wanakuja raia wasiofahamika wanakagua gari yako .
Eeee Mungu Baba jalia siku moja nikutane na askari wa aina hii ambae atanipiga mkono afu raia aje anikaguee eee Yehova jalia tukio hili linitokee..Yaani kitakachotokea siku hiyo lazima magazeti yote siku ya pili yanipe heading kwenye front page..
 
Kuna kila dalili ya kutokea maafa siku si nyingi .
 
Yono Auction ni wezi afu nashangaa TRA na polisi wanawaamini sana wanapewa hadi tenda za kukagua marisiti madukani mwetu kuna siku tulipiga mmoja anabahati alikua ana roho ya paka mana wazazi wake wangeshaimba parapanda italia..
 
Back
Top Bottom