Namwangukia Magufuli Kumtaka Radhi

Hiyo video ya kwanza wee mwenzetu hukuona sababu ya huyu mwanamke kupigwa hivyo kuwa alitaka kumfanyia nini mwanaume, jamaa akashtuka? Unadhani why majirani wamekaa pembeni tu wanaangalia? Mwanamke jambazi huyo
 
Mkuu hebu itolee maelezo
 
Ukawa hawapendi kuona namna Magufuli anavyotimiza ahadi zake kwa wananchi kwa kasi na viwango!
 
Aliyepewa vingi kwake vitatakwa vingi.

Naiogopa siku ya mwisho kuna watu tutawapa siku nzima kujieleza mbele za Mungu huku tukiwa tumesimama kwenye foleni.
 
Back
Top Bottom