Osaka
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 1,762
- 552
Nashukuru kwa taarifa, maana details zako zinacorespond na maelezo nilopewa ntakucheki soon
Ingia Kwenye PM tafadhali.
Nashukuru kwa taarifa, maana details zako zinacorespond na maelezo nilopewa ntakucheki soon
Asanteni kwa kujali wakuu na naendelea kufanya private correspondence na Osaka naamini atanisaidia. Nikifanikiwa ntarudisha mrejesho na nisipofanikiwa vile vile ntarudisha mrejesho.
Pole ndugu yangu,mm kuna kasanga ninaye mfahamu ni mwl wa Bagamoyo sec sasa sijui km bado yuko bagamoyo au la
Huyu aliesema yupo mission Sikonge inawezekana cz namie nipo hapa mission na akina KASANGA WAPO wengi kweli
Mary, wingi wa majina ya akina Kasanga siyo issue sana, kitu cha msingi ni kuuliza na kumpata Mr. JACOB GERSON KASANGA. Kwa vile uko Mission, ebu uliza Ukoo wa akina Kilomo. Nimejitahidi kuulizia, na nimeambiwa ameisha hamia vijijini. Bado nafanya follow up ni kijiji gani anapatikana.
Thanks for the advice I will try it.
Mary, wingi wa majina ya akina Kasanga siyo issue sana, kitu cha msingi ni kuuliza na kumpata Mr. JACOB GERSON KASANGA. Kwa vile uko Mission, ebu uliza Ukoo wa akina Kilomo. Nimejitahidi kuulizia, na nimeambiwa ameisha hamia vijijini. Bado nafanya follow up ni kijiji gani anapatikana.
karibu sana Ndg yangu..
Mimi naitwa Onesmo Gerson Jacob Kassanga,ni mtoto wa mr.gerson jacob kassanga ambaye ni mfanyakaz wa kampuni ya magari iitwayo Nyumbu-TATC iliyopo kibaha katik kambi ya jeshi...ni wenyeji wa sikonge -Tabora.
Na sifa hzo zote ulizozitaja ndizo za baba yetu...
Naomba tuwasiliane 0674329928

mgoshawampasa umeona hii?? Santa claus kakutembelea.karibu sana Ndg yangu..